Jina lako la kichawi

Jina lako la kichawi

Bado nina mashaka, yaani mimi niwe a "divine spell?" mshana jr kwa kweli unanitafuta na yabidi utekwe haraka sana kabla watu atujaanza kushikana uchawi. Mimi ni M na H, kwa taarifa yako!
 
Hawana huo uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku moja Dingi alinikung'uta mangumi, nikachukia sana nikatamani kimoyomoyo afukuzwe
kazi, siku ya pili akafukuzwa kweli.....!!!! (Alirudishwa baada ya mwaka mmoja) Hiyo nikiwa mdogo.

Pia nilikuwa namfukuzia binti fulani akanikubali lakini akawa safarini, nikatamani gari ikifika maeneo
fulani iharibike, nakumbuka ilikuwa 1999 kweli pale pale nilipotamani na gari ikaharibikia hapo hapo
vipi kuna uhusiano na haya mambo ya majina?
 
Linganisha na ulichokisoma kwenye jina lako la kichawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom