Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,096
- 828,933
- Thread starter
- #61
Roho iliyobarikiwaMshana jr
Naomba maanazake kwa maelekezo ya kuunganisha herufi!
1. SA=Blessed Soul
2. May, K= Luna Cauldron-keeper
Sent using Jamii Forums mobile app
Luna ni mwezi na cauldron ni chungu I mean ni jungu kubwa, kuna wakati mwezi hukaa kama jungu kubwa
Jungu kubwa maana yake nn sasa? I mean tafsiri ya ndani ktk 'mambo yenu' ni nini?Luna ni mwezi na cauldron ni chungu I mean ni jungu kubwa, kuna wakati mwezi hukaa kama jungu kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Keeper kazi yake kuhifadhi.... Yani uwezo wa kuhifadhi mengi ya siriniJungu kubwa maana yake nn sasa? I mean tafsiri ya ndani ktk 'mambo yenu' ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kusema kila akisaka atakuwa anavutwa kama sumaku, yaani kama hela kila akitaka kuishika mkono unavutwa.Seeker inatokana na neno seek yaani kutafuta! Seeker - mtafutaji. Magnetism inatokana na neno magnet yaani uvutano(sumaku), maana yake hii hapa.... Mtafuta uvutano
Sent using Jamii Forums mobile app
Trancended wench ni binti kigoli aliyeenda na kuvuka mipaka.... Going beyond limits... Kumbuka hapa ni ishu za kirohoMshanajr nijibu hii nini maana yake
Cybil ni mungu wa miungu wa kikeMshanajr nijibu hii nini maana yake
kwa njia ya kwanza nnakuwa 'bewitched glamour'
Kwa njia ya pili ni Ursula hocus pocus.
Duh!
hatariousDuh mkuu maana yake mimi nang'arisha majuju?