Sina muda huo wa kuangalia ujinga ww bonyaa.
ila bado unatumia muda kuusoma na kureply
...au akitaka usome basi afanye ku edit sifa za herufi yako ya kwanza.
Jina la pili nduguMshana jina la ubini ni lipi ndugu wengine kiswahili tulipata bashite![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kiambishi cha fire (burning)... Mvutano/mnaso motoMshana jr what does fiery magnetism means?
Mvuto wa pesa au wanawake au ama naweza kuvuta heha kutoka kny sefu kwa kulainisha vitasa vyake na hela zikatoka kwa nguvu hiyo ya sumaku?
Cryptic mysterious - ya kushangazaCryptic soul
Hapo nimeelewa soul tu ndugu yngu iyo cryptic naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kifupisho cha megabyte (large, extensive)Mshana hili la kwangu lina maana gani na mwezi ni wa saba!!
Cairo's
Mnaso/mvuto wa kirohoDivine magnetism maana yake nini?
from Katesh using Siemens C55
Light ni mwanga ama kitu chepesi arcane ni kitu kinachojulikana na wachache, Ursula ni kitu kitamu kuliko vyote na splindlerfinger ni sawa na kuweka kidole cha shahada chini kisha kuzungukaLight Arcane na Ursula Spindlefinger yana maana gani na utofauti upi kaka
mafisadi hayana rangi