Jina la Yesu limefanya maajabu: limemzuia mwana mazingaombwe kucheza "show" zake

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,527
Reaction score
7,121
Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza!

Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana mazingaombwe anafanya "show" zake. Kulikuwa na kikundi kikubwa cha watu wanatazama. Mtumishi huyo, alisimama katikati ya watazamaji wengine, kisha kimya kimya, bila kutamka maneno, akakemea "show" hizo zisifanyike. Mwana mazingaombwe, alijaribu kutumia mbinu na maarifa yake yote, lakini hakuweza tena kufanya yale aliyotamba kwamba atayafanya. Baadaye akasema: "hapa kuna mtu anazuia mazingaombwe yangu yasifanyike!" Lakini hakuweza kujua ni nani.

Mtumishi huyo akathibitisha kuwa ni kweli baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza au uchawi, ndio sababu mwana mazingaombwe huyo hakuweza kuendelea na "show" zake, mara tu Mtumishi huyo wa Mungu alipoyakemea kwa Jina la Yesu.

Hakika Jina la Yesu ni Jina lipitalo majina yote. Likitamkwa kwa sauti ndogo au kubwa au kimoyo moyo na mtu aaminiye kuwa Jina la Yesu lina nguvu, kazi za shetani zinavunjika, mapepo yanatoroka na shetani mwenyewe anakimbia. Anza leo kulitumia Jina la Yesu ku-solve matatizo unayokutana nayo maishani mwako. Wachawi wakija kwako, wakemee kwa Jina Yesu watakimbia. Watu wakikutishia kwamba wataloga biashara yako, zuia mipango yao kwa Jina la Yesu. Ukiona ndoa yako imeingiliwa na mapepo yanayosababisha unafarakana na mwenzi wako wa ndoa, kemea mapepo hayo, utaona chuki na mafarakano vinaisha!
 
Wafilipi 2:9-11
Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote. Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake, na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
 
Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza!

Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana mazingaombwe anafanya "show" zake. Kulikuwa na kikundi kikubwa cha watu wanatazama. Mtumishi huyo, alisimama katikati ya watazamaji wengine, kisha kimya kimya, bila kutamka maneno, akakemea "show" hizo zisifanyike. Mwana mazingaombwe, alijaribu kutumia mbinu na maarifa yake yote, lakini hakuweza tena kufanya yale aliyotamba kwamba atayafanya. Baadaye akasema: "hapa kuna mtu anazuia mazingaombwe yangu yasifanyike!" Lakini hakuweza kujua ni nani.

Mtumishi huyo akathibitisha kuwa ni kweli baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza au uchawi, ndio sababu mwana mazingaombwe huyo hakuweza kuendelea na "show" zake, mara tu Mtumishi huyo wa Mungu alipoyakemea kwa Jina la Yesu.

Hakika Jina la Yesu ni Jina lipitalo majina yote. Likitamkwa kwa sauti ndogo au kubwa au kimoyo moyo na mtu aaminiye kuwa Jina la Yesu lina nguvu, kazi za shetani zinavunjika, mapepo yanatoroka na shetani mwenyewe anakimbia. Anza leo kulitumia Jina la Yesu ku-solve matatizo unayokutana nayo maishani mwako. Wachawi wakija kwako, wakemee kwa Jina Yesu watakimbia. Watu wakikutishia kwamba wataloga biashara yako, zuia mipango yao kwa Jina la Yesu. Ukiona ndoa yako imeingiliwa na mapepo yanayosababisha unafarakana na mwenzi wako wa ndoa, kemea mapepo hayo, utaona chuki na mafarakano vinaisha!
Aisee, tembea uone - duniani kuna mambo
 
Aisee, tembea uone - duniani kuna mambo
Sure, tembea uone nguvu za Yesu in action. Ukikaa mahali pamoja unaweza kufikiri watu wote duniani ni Atheists. Kumbe kuna maeneo mengine Watumishi wa Mungu wana-apply Neno la Mungu in real life situations
 
Wacha mbwembwe, mnazunguka sana na ngonjera zisizo na maana, kuna OPTION mbadala wa kuprove uweza wa huyo Yesu pamoja na baba yake wa mbinguni,
Nenda hospital basi tufanye zahanati au tufanye pharmacy mufanye maombi ya kuponya hata mafua tu ili tuone kwa macho muujiza wa ajabu na tusitegemee hizo imani zenu mnazotuambia kila siku ilihali hazina ushahidi zaidi ya ujanja ujanja.

Likija hili suala la kwenda mahospitali kuwaombea wagonjwa mnapita mbaliii😂😂, Yesu hagusi hukuu, hagusi huku kwamotoo, hata wale matapeli wenu wanaojiita wachungaji na manabii hutowaona wakikanyaga malango ya hospital kwanini?😂👇

Kwasababu Dini ni biashara ya kuwahadaa wajinga na wapumbavu kuwaaminisha mafundisho ya uongo na uwepo wa Miungu ambayo kiuhalisia haipo na haina nguvu inayopewa na hizo dini.

Nakukaribisha Pharmacy kuna mgonjwa wa mafua njoo umuombee
 
Hahah eti yesu mzungu na baba yake Mungu na malaika zake wa kizungu...na shetani mweusi hahaha
 
Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza!

Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana mazingaombwe anafanya "show" zake. Kulikuwa na kikundi kikubwa cha watu wanatazama. Mtumishi huyo, alisimama katikati ya watazamaji wengine, kisha kimya kimya, bila kutamka maneno, akakemea "show" hizo zisifanyike. Mwana mazingaombwe, alijaribu kutumia mbinu na maarifa yake yote, lakini hakuweza tena kufanya yale aliyotamba kwamba atayafanya. Baadaye akasema: "hapa kuna mtu anazuia mazingaombwe yangu yasifanyike!" Lakini hakuweza kujua ni nani.

Mtumishi huyo akathibitisha kuwa ni kweli baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza au uchawi, ndio sababu mwana mazingaombwe huyo hakuweza kuendelea na "show" zake, mara tu Mtumishi huyo wa Mungu alipoyakemea kwa Jina la Yesu.

Hakika Jina la Yesu ni Jina lipitalo majina yote. Likitamkwa kwa sauti ndogo au kubwa au kimoyo moyo na mtu aaminiye kuwa Jina la Yesu lina nguvu, kazi za shetani zinavunjika, mapepo yanatoroka na shetani mwenyewe anakimbia. Anza leo kulitumia Jina la Yesu ku-solve matatizo unayokutana nayo maishani mwako. Wachawi wakija kwako, wakemee kwa Jina Yesu watakimbia. Watu wakikutishia kwamba wataloga biashara yako, zuia mipango yao kwa Jina la Yesu. Ukiona ndoa yako imeingiliwa na mapepo yanayosababisha unafarakana na mwenzi wako wa ndoa, kemea mapepo hayo, utaona chuki na mafarakano vinaisha!
Hata jina la shetani linaweza. Ni belief na perception tu.
 
Hahah eti yesu mzungu na baba yake Mungu na malaika zake wa kizungu...na shetani mweusi hahaha
Unaota ndoto? Kama uko macho, umeyanukuu wapi maneno hayo?
 
Hahah weka picha zao apa hao kina yesu Mungu, malaika na shetani
Ndugu yangu, Yesu alipokuwa duniani hakukuwa na camera, ndiyo maana hatuna picha yake halisi. Kamera ya kwanza ya kupiga na kurekodi picha (photographic camera) ilivumbuliwa na Joseph Nicéphore Niépce mwaka 1816–1817. Wakati huo Yesu alikuwa tayari ameishapaa mbinguni zaidi ya miaka elfu moja kabla. Ndiyo maana tunamjua Yesu kupitia maandiko matakatifu tu na sio kupitia picha. Na Maandiko hayasemi Yesu alikuwa mzungu
 
Hahahahah kwahyo yesu hawez kurudi Leo ili apige selfie waumini wake mmjuue vizuri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom