jina la utani

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,806
9,303
kumbuka jina lako la utani wanalokuita shule, nyumbani au kazini
kwanini umepewa jina hilo?
 
ewe Mbona hujataja lako!!

Nilipata Jina la macomputer kipindi niko chuo.. Sababu ya jina ni utundu na ukorofi katika computer
 
wakati nipo o level kuna jamaa angu lakin ameshafariki akawa anantania kuwa eti mi sijatahiriwa kwa kuwa ckuwa na msichana pale shuleni na ckuwa na time nao kwa sana kwahyo akawa ananambia eti nina KICHOJI, asee jina likakuwa had leo baadhi ya jamaa wananiita such name
 
Kumbe ni wewe!!!
 
Bi Chau. Sababu nilikua naongea sana halafu haraka haraka sasa na nisione kitu lazima nitake kukijua.
 
ewe Mbona hujataja lako!!

Nilipata Jina la macomputer kipindi niko chuo.. Sababu ya jina ni utundu na ukorofi katika computer
marafiki zangu walikuwa wananiita kijiti
nilikuwa sina mwili kabisa
 
Back
Top Bottom