Jina halisi la marehemu Eddy Shegy ni nani?

Jina halisi la marehemu Eddy Shegy ni nani?

Inaonekana hii ilikuwa ni BANTU GROUP na hawa jamaa walikuwa ndugu watatu kw amujibu wa Kitine.

"Hebu tumkumbuke Eddy Sheggy hapa akiwa na Bantu, akiimba na ndugu zaki Francis na Christian."

Ni kweli, ila ule wimbo aliouimba na Bantu Group ulikuwa siyo original, aliuimba tena akiwa na Bantu Group siku zake za mwishoni hapa duniani. Shakaza Pele uliimbwa na Eddy Sheggy na nduguze (Francis, Christian, na yeye Eddy mwenyewe) wakati wakiwa Bima Lee.
 
Eddy Sheggy: Kapu la mjanja, Ogopa Tapeli, Mwisho wa mwezi( zote hizi vijana Jazz. Eddy Sheggy: Julie, Shakaza, Penzi la Ulaghai, Uke wenza- kulala sebuleni( zote hizi akiwa na Washirika Tanzania Stars- ni bendi mrengo wa pili wa Vijana Jazz).
Kwa kweli Eddie Sheggy alikuwa na sauti ambayo daah, we acha tu. Vibao hivyo nilivyovitaja vya bendi mbili hizo hata sasa hivi kikipigwa kimoja kila mmoja atasema vipaji vilikuwepo miaka ya tisini kurudi nyuma na hatabanduka kusikiliza hadi muziki husika uishe

Mbona hamsemi alizoimba BANTU GROUP ?
 
Eeee wene weangu shakaza. Nina makosa ani weangu shakaza.
gouni ingwe weangu shakaza. weangu wedi naawanyiika shakaza puke. puke puke
Kusheghuighwa kohe ni kufa ughumba naneeee
Huu wimbo naupendaga Sana ingawa sijui alikua akimaanisha nini hasa, Luna mtu mwenye lyrics zake na tafsiri yake??
 
Eeee wene weangu shakaza(eeh jamani wenzangu umasikini.
Nina makosa ani weangu shakaza.(nimekosea nini nini jamani umasikini)
gouni ingwe weangu shakaza. (gauni ninalo moja jamani umasikini.

weangu wedi naawanyiika shakaza puke. puke puke (marafiki wenzangu wazuri nawakimbia sababu ya umasikini wananitema mate putu putu putu)

Kughuighwa nkwedi(kuolewa ni kuzuri)

Kusheghuighwa kohe ni kufa ughumba naneeee (kutoolewa nako kutakufanya ufe umgumba kufa ooh)
 
'...alianza kuweka sukari kwenye mboga, nikaonja haviliki tukalala na njaa...kafuatia na kuweka chumvi kwenye chai, nilikuwa na wageni wakatoka bila kuaga...kafuatia kuchelewa akienda sokoni, nikimuuliza anitukana hadharani aibu...kuna gari imekuja hadi mlangoni, kujitetea akasema mjomba wake kaja...hivi juzi kavunja kioo cha dirisha, apate kuchungulia wapitao njiani...hatimaye kunibeza na kunidharau, shikamoo ikaisha ikabaki vipi babu mambo zako weewe...nilishindwa kumuuliza, sikutaka kumuudhi, sababu nilikuwa nampenda, nampenda saana...!...asante sana Eddy Sheggy 'Fast Mover' na Emma Mkello
Walisemaa mamaa niliyempenda kanitoroka kanitoroka jama

Alikuwa kama helkopta ndege isiyochagua mahala pakutua eeh hapa mtaani alikuwa namabwana zaidi ya wawili.....
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia Jina lake ni EDWARD SHEKIONDO lakini akalifanyia usanii akajiita EDDY SHEGGY. Namzungumzia kaka wa Christian Sheggy, mwanamuziki wa zamani wa Orchestra Super Rainbow, na Washirika Tanzania Stars (Watunjatanjata). Ameshatangulia mbele za haki. Anayejua UHALISI WA JINA lake atujuze ili kuweka kumbukumbu sahihi.
Nyakati hupita, watu hufa lakini maandishi hubaki

Jr[emoji769]
 
Eeh ntendazeze shakaza eeeh ntendazeze weangu shakaza
Mghoshi auko nyika kaawea wana weangu
Ishwi kunu kaya na wanangu shakaza shakaza

Mghoshi auko nyika ndima nkunywa mphombee ishwi kunukaya tikighubika mghasa eeh

Ishwi kunu kaya tihumuiya viugha na maboko weangu

Ishwi kunu kaya kio nikumuika navizinga weayangu

Ishwikunu kaya haviongwa sungu zangu weanguu shakaza

Au kuna huu

Wazizimiza uko mazuu nyumba ya mke mkuu hamubua eeh
Mumaangu imi nikaghambee shakaza pele sija na waghebe wakooa mbogha
Waghebee waghebee kangwe wakoa mbogha
 
Osie hongeeshesha
Zua jaaka
Fua yaagwa
Uko mazu kuzafa mshai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Osie hongeeshesha
Zua jaaka
Fua yaagwa
Uko mazu kuzafa mshai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Mghoshi washambaa waghamba chikija kihagha chiwea shafu na muumbie gemo awea kigha

Kaibu ushejae kuegha uwo uvi

Hangi lelo netiuumbiie gemo uko kwa mkapa maana siona kigha zumbe Mshana Jr
 
Nikitazama milima ya kwetu eeee
Machozi yanitoka, narudi nyumbani
Tulikuja wawili, narudi peke yangu
Baba na mama wataniuliza, bibi yako wapi.........in Eddy Sheggy's voice

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikaenda kuishi na bibi yule mjini
kazi yake ilikuwa ni vituko
Alianza kuweka sukari kwenye mboga
Nikaonja haviliki tukalala na njaa
Kafuatia kuweka chumvi kwenye chai
Nilikuwa na wageni wakatoka bila kuaga
Kafuatia kuchelewa akienda sokoni
Nikimuuliza anituka hadharani aibu
Kuna gari linakuja hadi mlangoni
kujitetea akasema ni mjomba wake kaja
Juzijuzi kavunja kioo cha dirisha
Apate kuchungulia wapitao njiani
Hatimae kunicheka na kunidharau
Shikamoo ikaisha ikabaki
Vipi babu mambo zako
Nilishindwa kumuuliza sikutaka kumuuliza
Sababu nilikuwa namupenda sana
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia Jina lake ni EDWARD SHEKIONDO lakini akalifanyia usanii akajiita EDDY SHEGGY. Namzungumzia kaka wa Christian Sheggy, mwanamuziki wa zamani wa Orchestra Super Rainbow, na Washirika Tanzania Stars (Watunjatanjata). Ameshatangulia mbele za haki. Anayejua UHALISI WA JINA lake atujuze ili kuweka kumbukumbu sahihi.
Nilisikia jina halisi ni Edson...
 
Ubini wa Sheggy ni upi ? Shekiondo ? Shemahonge ? Shekabuge ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom