mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,327
- 56,075
Siku zote najua we ni binti kumbe mhenga mwenzangu
Siku zote najua we ni binti kumbe mhenga mwenzangu
Siku zote najua we ni binti kumbe mhenga mwenzangu
Tuliozaliwa 1988 kushuka chini ni wahenga ila mkuu utashangaa mimi najua nyimbo zote za Salum Abdallah na Cuban Marimba Band,Super volcano,Jamhuri jazz kilwa jazz ,akina mbaraka mwinshehe,sijui moro jazz lakini sikuwa nimezaliwa wakati wanakufa,mfano Salum Abdalka wa Cuban Marimba alikufa 1965 mama yangu alikuwa na miaka 5 ,so uko sahihi huenda ni binti ila ni mpenzi wa hizo nyimboUhenga unaanzia umri gani? Inawezekana akawa mpenzi tu wa nyimbo za zamani na yupo 20s-30s