Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Naam ukiwa na hii desturi. .utaishi kwa Amani sana duniani
Jina linaanzia na S linaishia na e, huyu amenifanya niwachukulie wanawake kama watu wa kawaida sana kwangu, nawaheshimu tu, lakini inapokuja kujishokesha huwa sinaga hizo makitu kwao, na hata demu akitishia kuniacha huwa sitishiki,hata wife anatambua, na adabu sana coz huwa namwambia, kama wa kwangu ni wangu na kama kuna mtu amemwona anamfaa asepe nae,....huwa ananishngaa, na sio kwamba simpendi ,ila now dayz huWa sipendi kuendekeza kujiafanya mapenzi niue
 
Aise ''mpaka na staajabu. ..Hii inadhihirisha kwamba Uaminifu katika mahusiano rate yake ni 0
Dah!sio kwa stahili hii inaonekana walioumizwa kwenye mahusiano ni wengi kuliko kawaida,how emotions are these comments?Na wengi maumivu nikama hayasahauliki.Anyway kama Mungu anasamehe nasisi tusamehe pia tuachilie mioyo yetu isiendelee kuwabeba ili tuwe salama,kibinadam sometimes ni ngumu lakin kwa neema ya Mungu inawezekana.
 
Neema...Neeema!

Coomer kibuyu ww ulinifanyia upumbavu sitasahau. 2 years plus nakufukuzia mtoto wa kike, ukijua nakupenda sana msenge maji ww ila ukawa unanivungia tu, at last ukaja kutombwa na mwamba classmate wangu na msela wangu pia kisa alikuwa na uwezo wa kuchapa code za information system project. Na hii ni week moja baada ya kutoka geto kwangu ukanikazia sex kwa ahadi kuwa utarudi kumamake walai.

Kende ziliniuma sana this day kwa ugwadu.Shubakengemiti zako sitakaa nisahau jinsi ulivyoniumiza baada ya kugundua umeruka na mwana, binti wa kikaratu!

Na hili ndio lilikuwa funzo kwangu kuwa malaya akiingia geto lazma aishe hata kwa vita! Toka hapo nimeacha tabia za Yesu.

God forgives i don't!
 
Lol aise. ..bora hata ulivyo acha kufanya ulicho kuwa unafikiria. .maana ungeishia kujidhalilisha wewe mwenyewe
wewe fidodingo,shenzi wewe,after all that you have done to me ukaona unidhalilishe mbele ya wazazi wangu na ndugu zangu/marafiki......yaani mpaka leo nikiongea nao naona kama wanaona utupu wangu,FUKC YOU again FUKC YOU.......................some people comes in our lives as a lesson,was soo young to be in sexual relationship,na una bahati nimepoa nilikua NITEMBEE/HAVE SEX WITH ALL YOUR FRIENDS NA MAPICHA NIKUTUMIE wewe FISI MAJI WE!
 
Hahahahahaha aise ''leo hakuna rangi ambazo nitaacha kuona. ....
Neema...Neeema!

Coomer kibuyu ww ulinifanyia upumbavu sitasahau. 2 years plus nakufukuzia mtoto wa kike, ukijua nakupenda sana msenge maji ww ila ukawa unanivungia tu, at last ukaja kutombwa na mwamba classmate wangu na msela wangu pia kisa alikuwa na uwezo wa kuchapa code za information system project. Na hii ni week moja baada ya kutoka geto kwangu ukanikazia sex kwa ahadi kuwa utarudi kumamake walai.

Kende ziliniuma sana this day kwa ugwadu.Shubakengemiti zako sitakaa nisahau jinsi ulivyoniumiza baada ya kugundua umeruka na mwana, binti wa kikaratu!

Na hili ndio lilikuwa funzo kwangu kuwa malaya akiingia geto lazma aishe hata kwa vita! Toka hapo nimeacha tabia za Yesu.

God forgives i don't!
 
Katika dunia ya sasa kwenye suala la mahusiano kila Mtu ni hatari suala la majina fulani --- wachache sana ndio waaminifu. ...

Hata hao waaminifu Wamekuwa waoga kuingia kichwa kichwa kwenye mahusiano
Hivi majina ya Sarah ni hatari mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom