Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Ilikuwaje boss?
Aliniacha, sijuagi mpaka leo aliniacha kwa sababu gani ila nilichokuja kufikiria mimi ni kuwa sikuwa na uwezo wa kumtosheleza kimahitaji. Kipindi hiko alikuwa chuo, na kitu alichonambia ni kuwa Hanipendi tena wala hana future na mimi. Niliukubali ule ukweli wake ingawa akili iligoma kukubali.

Ilinichukua takribani miaka miwili ndipo nikasema kweli she isnt with me, kinachoniuma mpaka leo dada, mimi ilibidi niombe msamaha kwa kitu nisichokijua ili asiniache, nikifikiriaga hilo jambo nafsi huwa inanyong'onyea sanaaa! Mimi huyu wa kuomba msamaha kwa nisichokijua!? Mungu amsaidie tu kwa kweli binti huyu.
 
Pole Sana.
Achana nae...yupo wa kwako mwema zaidi.
 
Hayo yakipata mpenzi mpya kukuacha haiitaji uwe na kosaa...!!
 
Aliniacha, sijuagi mpaka leo aliniacha kwa sababu gani ila nilichokuja kufikiria mimi ni kuwa sikuwa na uwezo wa kumtosheleza kimahitaji. Kipindi hiko alikuwa chuo, na kitu alichonambia ni kuwa Hanipendi tena wala hana future na mimi. Niliukubali ule ukweli wake ingawa akili iligoma kukubali.

Ilinichukua takribani miaka miwili ndipo nikasema kweli she isnt with me, kinachoniuma mpaka leo dada, mimi ilibidi niombe msamaha kwa kitu nisichokijua ili asiniache, nikifikiriaga hilo jambo nafsi huwa inanyong'onyea sanaaa! Mimi huyu wa kuomba msamaha kwa nisichokijua!? Mungu amsaidie tu kwa kweli binti huyu.
Pole sana. Ndo mapito ya dunia
 
Neema...Neeema!

Coomer kibuyu ww ulinifanyia upumbavu sitasahau. 2 years plus nakufukuzia mtoto wa kike, ukijua nakupenda sana msenge maji ww ila ukawa unanivungia tu, at last ukaja kutombwa na mwamba classmate wangu na msela wangu pia kisa alikuwa na uwezo wa kuchapa code za information system project. Na hii ni week moja baada ya kutoka geto kwangu ukanikazia sex kwa ahadi kuwa utarudi kumamake walai.

Kende ziliniuma sana this day kwa ugwadu.Shubakengemiti zako sitakaa nisahau jinsi ulivyoniumiza baada ya kugundua umeruka na mwana, binti wa kikaratu!

Na hili ndio lilikuwa funzo kwangu kuwa malaya akiingia geto lazma aishe hata kwa vita! Toka hapo nimeacha tabia za Yesu.

God forgives i don't!
Tabia za Yesu lol🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lucy, Lucy, Lucyphine!!!
Qmamae, ulivyonifanyaga mwaka 2012. Tarh 25 mwezi wa July ni sawa sikuwa na namna. Nilikupanda kumamamake mpaka nikawa sijijali mimi, wazazi wako hawakuwa na namna ya kukuwezesha ukiwa si chuo wala nyumbani. Nilijitoa kwako ingawa sikuwa na kazi ila nilijitahidi japo nikupe mia nane niipatapo buku.

Wacha niishie hapa, ila Mwenyezi akutangulie tu katika uyafanyayo ufanikiwe, kuna siku tutaonana tu.
Mimi huyuuuu! Almanusra niwehuke eeeeeh!!!
duh!
 
Aliniacha, sijuagi mpaka leo aliniacha kwa sababu gani ila nilichokuja kufikiria mimi ni kuwa sikuwa na uwezo wa kumtosheleza kimahitaji. Kipindi hiko alikuwa chuo, na kitu alichonambia ni kuwa Hanipendi tena wala hana future na mimi. Niliukubali ule ukweli wake ingawa akili iligoma kukubali.

Ilinichukua takribani miaka miwili ndipo nikasema kweli she isnt with me, kinachoniuma mpaka leo dada, mimi ilibidi niombe msamaha kwa kitu nisichokijua ili asiniache, nikifikiriaga hilo jambo nafsi huwa inanyong'onyea sanaaa! Mimi huyu wa kuomba msamaha kwa nisichokijua!? Mungu amsaidie tu kwa kweli binti huyu.
kwa maelezo haya wanaume wengi wameowa watu wasiowapenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom