Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

Tufunguke wa ndg
Ni jina gani hutaki kuliskia ama kulitamani kwenye mahusiano.

Mimi nikiskia jina 'lucy" huwa nafedheeka sana sipend kabisa jina hilo, nilimpenda sana lakini hakupendeka....
.nikiliskia tuu ilo jina nakumbuka mbali sana,, haswa hua nakumbuka ushenzi wake tuu

Sitaki kabisa kuliskia jina ilo. Iwe fb, insta na kwengineko nikikutana na mtu anaetumia jina ilo namblock mapema linankumbusha mbali mno.

Tuambie na ww jina gani hulipend?
Jina gani ukiliskia unakumbuka mbal?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Halima jina lililonivurugia ndoto zangu mpk sasa napambana ili ndoto zangu lkn bado sitolisahau kwa upuuzi alonitendea na ambao bado anaendelea kunitendea najuta kumfahamu
Anaendelea kukuvuruga na kumwacha hutaki upo serious kweli.
 
Yaani kam kna mwanamke anaitwa "DIANA" humu JF atanisamehe.... Huwa cpend kbsa kulickia ili jina, ningekua n uwezo ningemtoa ata roho...

Japo cjajua kam wote wny jina hili ndvo walivo ila dahhh...

Tupa kulee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Binafsi nikisikia demu yeyote mwenye jina linafanana na kufuli huwa napata kichefuchefu kikali... kaniharibia sana maisha huyu demu... dili zangu zote zilizokuwa zinanipa jina mjini kaziua.
 
Back
Top Bottom