Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

Jack.....Jack.....Jackeline uliutesa moyo wangu..Jack haukuona upendo wangu kwako,nilijieleza kwa lugha zote ukinielewa Jack. Jack wewe ulikua mwanamke wa kwanza kuuteka moyo na niliapa kutokusaliti.
Kwanini Jack ukinielewa? Ukanza kunitangaza kwa marafiki zako kuwa nakusumbua sana? Jack ulivyokua na mapozi na ulivyokua unapenda kunyonya kidole lakini moyo wako ulishindwa kutambua upendo wangu.
Hili jina sitaki kulisikia kabisa.
 
Tufunguke wa ndg
Ni jina gani hutaki kuliskia ama kulitamani kwenye mahusiano.

Mimi nikiskia jina 'lucy" huwa nafedheeka sana sipend kabisa jina hilo, nilimpenda sana lakini hakupendeka....
.nikiliskia tuu ilo jina nakumbuka mbali sana,, haswa hua nakumbuka ushenzi wake tuu

Sitaki kabisa kuliskia jina ilo. Iwe fb, insta na kwengineko nikikutana na mtu anaetumia jina ilo namblock mapema linankumbusha mbali mno.

Tuambie na ww jina gani hulipend?
Jina gani ukiliskia unakumbuka mbal?
Jackline; hawa wote kimeo wanapenda dushe hao.
 
Shetani.

Hili jina silipendi kulisikia.Yeye ndiye aliyeyasababisha haya yote mpaka Tunakasirika.

Naamini bila huyu Shetani, basi floow asingeileta hii mada Jamii Forums.

Shame upon him.
Umenena mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jack.....Jack.....Jackeline uliutesa moyo wangu..Jack haukuona upendo wangu kwako,nilijieleza kwa lugha zote ukinielewa Jack. Jack wewe ulikua mwanamke wa kwanza kuuteka moyo na niliapa kutokusaliti.
Kwanini Jack ukinielewa? Ukanza kunitangaza kwa marafiki zako kuwa nakusumbua sana? Jack ulivyokua na mapozi na ulivyokua unapenda kunyonya kidole lakini moyo wako ulishindwa kutambua upendo wangu.
Hili jina sitaki kulisikia kabisa.
Umetisha kamanda
Pole na jack wako
 
Princess nilimpenda ila nilixhindwa kumuambia had Leo naumia
 
Kama kuna binti anaitwa Anna humu jf anisamehe bure tu,sijui ndo wenye hayo majina wote wako hivyo au vipi,ila nikisikia tu jina Anna,nakereka vibaya sana.
 
Jack.....Jack.....Jackeline uliutesa moyo wangu..Jack haukuona upendo wangu kwako,nilijieleza kwa lugha zote ukinielewa Jack. Jack wewe ulikua mwanamke wa kwanza kuuteka moyo na niliapa kutokusaliti.
Kwanini Jack ukinielewa? Ukanza kunitangaza kwa marafiki zako kuwa nakusumbua sana? Jack ulivyokua na mapozi na ulivyokua unapenda kunyonya kidole lakini moyo wako ulishindwa kutambua upendo wangu.
Hili jina sitaki kulisikia kabisa.
Pole saana kamanda
 
nimecheka sana, kumbe wengi mmelazwa na viatu humu

kuna mtu alininyima papuchi kisa jina langu, akadai aliumizwa na wa jina. nikajua ni porojo leo ndo nimeamini.

mi sijawahi umizwa zaidi nakosa(ga) pesa tu za kuwamiliki warembo najipoza na vimburu tu.
 
Back
Top Bottom