Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Komasimidaaa
Komasimidaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Komasimidaaa
Arashi haupendi kusikia hilo jina?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipendi kulisikia ndio[emoji57] [emoji57]Arashi haupendi kusikia hilo jina?
Wakorea wanavimadeko vizuri nawapenda saana.
Amenitosa aisee sitaki hata kumsikiaAmekutosa kule pm jamani?[emoji30][emoji30][emoji30]
Nlitaka niwe bibi yako kanitosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakufanya nini babu yangu.?
Halima wa karatu...Kuna hili la Halima tena awe anatokea maeneo ya Manyara au maeneo jirani ni zaid ya chagudoa wa kihaya
Ndiyo tushakuzaa hapa kwa kona irene uwoya sasa.Sipendi kulisikia ndio[emoji57] [emoji57]
Acha tu yaani mimi natamani ningezaliwa Korea kusini yan
Pole we! Sijui alikufanyaje!! samehe na kusahau tu ili wewe uwe huru...Yaani kam kna mwanamke anaitwa "DIANA" humu JF atanisamehe.... Huwa cpend kbsa kulickia ili jina, ningekua n uwezo ningemtoa ata roho...
Japo cjajua kam wote wny jina hili ndvo walivo ila dahhh...
Tupa kulee
[emoji38] [emoji38] ipo siku nitahamia kwa kweliNdiyo tushakuzaa hapa kwa kona irene uwoya sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nlitaka niwe bibi yako kanitosa
Bora ata angekua muhaya ningemfikiriaMuhaya nin
Alinijaribu kisha akamaanisha! Love issuesPole we! Sijui alikufanyaje!! samehe na kusahau tu ili wewe uwe huru...
ha ha ha ha daby ulimfanya nini huyu malkia?