Mbona unataja mademu zangu, bro tuheshimianeTINNA NA STELLA ingetokea maajabu tubaki watatu(3) duniani bc tena dunia ingekua haina binadamu baada ya ss.naapa nisingekubali Ku du nao
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mi huwa najiskia kichefuchefu nikisikia jina Esther au Debora ni kati ya watu walionifanya nisipige hatua haraka, ila namshukuru Mungu nimejifunza na maisha yanaendelea.
HahaaaaaaYohana Pombe Magugu
Unatoka wap na madem wabovu kamaMwajuma na Mwanaidi
Amekutosa kule pm jamani?[emoji30][emoji30][emoji30]
hapana siyapendiVipi walikuchukulia mumeo/buzi lako?
Kaundime,Masunga
SikuzaniLugoye,mwanahamisi
duhh!!!!nimesahau na jina la
Huyo nlikuaga nae mhehe
Anamadharau co mchezo
Afta kumkojoza aliniheshim
Kama babaake aisee
Mkuu leo nimeamka na magadhabu yangu ila kwa hapa nimecheka mpka nijasahau machungu yanguYohana Pombe Magugu
Hv huo unywele n wakoFesto...
Kyaaaaa jamaa alinitapeli pesa zangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakufanya nini babu yangu.?
Hebu anza ww kwanzaKama jnawezekana mtu ukitaja jina sema na sababu gani hutaki kulisikia hilo jina?
Huyo mwanamke mwenzioSuzana