Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,432
Lzm nishangae hata ingekuwa ni wwUlivyoniuliza kwa mshangao!!
Lzm nishangae hata ingekuwa ni wwUlivyoniuliza kwa mshangao!!
Lzm nishangae hata ingekuwa ni ww
napita tuuNn kaka waguna
[emoji4] [emoji125]Nimekujibu [emoji395]
Waenda wspnapita tuu
Walikufanyaje?? Walikula mzigo wakasepa nini? Ebu jaribu mimi uone serious.Amosi, kassim na Daudi siwapendi matapeli kama sana dadeq zao.
Nitakuja usiwazeWaenda wsp
Pole mkuu . . , ila nimecheka sanaaa . . [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi jina la Vumilia linanikera......
Nilimtumia barua ya mapenzi wakati tuko primary drs la sita ,aliipeleka kwa mwalimu afu ikasomwa assemble na viboko juu!!
Mi jina la Vumilia linanikera......
Nilimtumia barua ya mapenzi wakati tuko primary drs la sita ,aliipeleka kwa mwalimu afu ikasomwa assemble na viboko juu!!
Shiiiit nimekukosea nini????????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]John joseph
????? @!$€£Nlitaka niwe bibi yako kanitosa
Why?yap, she broke ma hart
Na wewe jina gani hulitaki??Ila asiwe melkiorysarangaforever living product
oooooh sorry kumbe ni human being?
hao jamaana hasira naoooo
Hao ndio walivyo mkuuKama kuna binti anaitwa Anna humu jf anisamehe bure tu,sijui ndo wenye hayo majina wote wako hivyo au vipi,ila nikisikia tu jina Anna,nakereka vibaya sana.