Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

Tufunguke wa ndg
Ni jina gani hutaki kuliskia ama kulitamani kwenye mahusiano.

Mimi nikiskia jina 'lucy" huwa nafedheeka sana sipend kabisa jina hilo, nilimpenda sana lakini hakupendeka....
.nikiliskia tuu ilo jina nakumbuka mbali sana,, haswa hua nakumbuka ushenzi wake tuu

Sitaki kabisa kuliskia jina ilo. Iwe fb, insta na kwengineko nikikutana na mtu anaetumia jina ilo namblock mapema linankumbusha mbali mno.

Tuambie na ww jina gani hulipend?
Jina gani ukiliskia unakumbuka mbal?
Nakuskasirisha kilazima sasa..
 
Halima jina lililonivurugia ndoto zangu mpk sasa napambana ili ndoto zangu lkn bado sitolisahau kwa upuuzi alonitendea na ambao bado anaendelea kunitendea najuta kumfahamu
 
tatizo sio jina tatzo hao waliobebeshwa hayo majina!!!msiyasingizie majina ya watu bure!!
MAUMIVU NDO TATIZO!!
 
Jack.....Jack.....Jackeline uliutesa moyo wangu..Jack haukuona upendo wangu kwako,nilijieleza kwa lugha zote ukinielewa Jack. Jack wewe ulikua mwanamke wa kwanza kuuteka moyo na niliapa kutokusaliti.
Kwanini Jack ukinielewa? Ukanza kunitangaza kwa marafiki zako kuwa nakusumbua sana? Jack ulivyokua na mapozi na ulivyokua unapenda kunyonya kidole lakini moyo wako ulishindwa kutambua upendo wangu.
Hili jina sitaki kulisikia kabisa.
[emoji19] [emoji19] masikini pole sanaaa...

Narafiki yangu anaitwa jack usikute ndiyo huyoo sema yeye ameshaolewaa
 
Danford nalichukia sana hilo jina aisee lijanaume tapeli la kisukuma kujifanya daktari kumbe huna lolote ni mtoa dawa tu katika pharmacy tena sio yako ya kuajiriwa,mfyuuu pumbavu zako huko uliko nakuombea njaa na majanga siku zote!
 
Back
Top Bottom