Jimbo la Shinyanga mjini halina mbunge

JiweJeusi,

Uko sawa kamanda mimi ni kati ya wana nzengo wa Shy mjini. Unayoyasema ni kweli bin sawia. Bahati nzuri hata masele mwenyewe na wapambe wake wanju hivyo.

Masele hawezi itisha mkutano au mkusanyiko wowote hapa, labda kama ni vikao vya ndani vya ccm. Jamaa anajiita mbunge sijui anamwakilisha nani. Sina uhakika baada ya kifo chd Kamanda Shelembi(RIP) sheria inasemaje, lakini kati ya kesi zilizokuwa straight, ni pamoja na hii. Haikuhitaji weledi mkubwa wa sheria kuona wazi kuwa Masele (ccm) walikuwa wanashindwa, na matokeo kutenguliwa, uchaguzi mdogo ungeitishwa, na hapo ndo wangeijua CDM ni kitu gani.

Anyway "hii ni mipango ya Mungu" kama hakuna alternative kwa sasa basi 2015 siyo mbali, tuombe uzima.

Tanzania tulivyo waajabu unaweza kukuta kamanda aliuawa kwa sayansi za gizani
 
Hii kitu siya kuuliza...wangefanya uchunguzi ni wasiwasi kuna kuna mkono wa Chama cha magamba kwa sababu kati ya kesi za kupinga matokeo zilizo kuwa wazi ni ya huyu jamaa...
Kwa kumbukumbu zangu Shelembi alitangazwa Mbunge baada ya mashabiki wake kuondoka kwa furaha wakishangilia wakiwa njiani waliambiwa kuwa matokeo yamebadilishwa na Masele katangazwa Mbunge.Hapa nina wasiwasi sana na kifo cha huyu Mhe.Shelembi
 
Hujui kura zinavyoibiwa kamuulize Masele akishirikiana na Balele pamoja na katibu mkuu wa CCM aliyefukuzwa ambaye wanadai ndiyo running mate wa urais 2015 bwana Yusufu makamba,baba Riz one na mangula ambaye ndiyo muasisi wa wizi wa kura Tanzania akishirikiana na usalama wa Taifa,
kaka nakuheshimu sana maswali ya kipuuzi huwa sipendi wewe hujui wezi wanibaje wewe huko kwenu kjijini unaibaje mihogo ya jirani zako aka mikate ya jk?

ahsante mkuu,huyu jamaa ni moja kati ya mazuzu wengi wenye hulka ya kimagamba.
 
Wananchi wa jimbo la shinyanga mjini, baada ya kupiga kura walitarajia kupata mbunge wao kupitia chadema, lah hasha, kamwe haikuwa hivyo. Kilichofuata ni milio ya bunduki na mabomu ya machozi ambayo yalifanikisha kuweka mbunge bandia MASELE wa ccm. Mbunge wa wananchi, MAREHEMU SHELEMBI akaenda mahakamani kupinga ushindi haramu wa bunduk na mabomu ya machoz. Kabla kesi kusikilizwa, kamanda akafari baada ya kuugua kwa masaa 18.
Kufuatia tukio hilo, nasema jimbo halina mbunge, kama hupo aende jimboni kwake aitishe mkutano wa hadhara aone kitakachomtokea. Natoa wito kwa yeyeto atakayemuona masele huko dar, amwambie sio mbunge wa shy mjini na jiuzulu mara moja kabla ya maandamano makubwa hivi karibuni. Natanguliza salamu zangu.


Makamanda wa Shinyanga mimi nawatakia kila la kheri katika mapambano ya kudai HAKI na UHURU wa Watanzania wote...Lakini pia niwatakie kheri katika Uchanguzi mdogo wa diwani...Tuko pamoja na hata tukihitajika kwenye kampeni tutakuja...
 
JiweJeusi,

Uko sawa kamanda mimi ni kati ya wana nzengo wa Shy mjini.
Anyway "hii ni mipango ya Mungu" kama hakuna alternative kwa sasa basi 2015 siyo mbali, tuombe uzima.

smz, nimefurahi kujua kuwa wewe pia ni mwana shy.
Kuhusu alternative, bado tunaweza kudai haki. Kwanza kwa kutafuta msaada wa kisheria na pili kwa kuitisha maandamano makubwa yenye lengo la kushinikiza na kumkataa mbunge bandia. Come what may, wanashy tumepuuzwa vya kutosha.
 
wabeja!
salaam zimefika tutamshughulikia....ajifue gamba fasta
 
Kweli kuna watu na viatu, hivi ni ww unaetambua ubunge wa mtu au ni sheria ? fikiri kabla hujaandika kitu hapa JF

acha jazba slow-learner ooh sorry wewe ni geniusB, ukweli ndo huo hata ccm mnajua masele ni mh wa nec. Kama unabisha mwambie akaitishe mkutano wa hadhara bac ajionee live yalompata mbunge wa kule muleba. Teh teh teh
 
Mbona mwenzako amejieleza vizuri sababu za Shinyanga kutokuwa na mbunge? Au mwenzetu wewe umefunga macho na ubongo wako?

Mkuu usipoteze muda wako huyo ni GeniusCrap na sio GeniusBrain. Ni product ya mafisadi wako huu kueneza upuuzi tu na kuleta propaganda za chama cha magamba.
 
Kweli kuna watu na viatu, hivi ni ww unaetambua ubunge wa mtu au ni sheria ? fikiri kabla hujaandika kitu hapa JF

wewe ndom kiatu, vipi umeshajifungua? Siku zote nakwambia wewe una mimba maana mtu anayefikiri kawaida huwezi kudandia mada na kuandika kisichoeleweka. Sasa ndo unaandika nini wewe G.Brain!!! nitakushangaa siku zote
 
Kiuhakika wote Masele na wanamagamba wenzie wote wanajua kuwa hawakubaliki Shy, na hawakushinda uchaguzi wa 2010. Kwahiyo wajue bado tunahasira nao kura zikidiwa iwe Ubunge ua udiwani lazima wachezee kipigo cha kura
 
Hivi karibuni chama cha CDM kilipata msiba mkubwa kwa kuondokewa na mwanachama na kiongozi wake maarufu, mpenda watu na mwenye nia ya dhati kabisa ya kuleta ukombozi wa kweli. Marehemu alikuwa amefungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi na uchakachuaji uliojitokeza katika uchaguzi ule. ninavyofahamu mimi naona kesi ile ilikuwa na pande kuu mbili moja ni kuwa marehemu alikuwa mlalamikaji na alifanya hivyo kwa masilahi ya watu waliomchagua,pia chama cha cdm kwa niaba ya wapenzi na wananchama wake kina masilahi makubwa katika kesi ile sasa inapotokea mlalamikaji mkuu amefariki umma uliokuwa na masilahi makubwa katika kesi ile kuliko hata mlalamikaji unakuwa umepoteza haki zake? au kuna namna yoyote ya kulinda masilahi ya umma katika mazingira ya namna hiyo, hasa mllamikaji namba moja anapokuwa hayupo duniani.naomba wajuzi wa sheria mnipanua mawazo!
 
Wananchi wa jimbo la shinyanga mjini, baada ya kupiga kura walitarajia kupata mbunge wao kupitia chadema, lah hasha, kamwe haikuwa hivyo. Kilichofuata ni milio ya bunduki na mabomu ya machozi ambayo yalifanikisha kuweka mbunge bandia MASELE wa ccm. Mbunge wa wananchi, MAREHEMU SHELEMBI akaenda mahakamani kupinga ushindi haramu wa bunduk na mabomu ya machoz. Kabla kesi kusikilizwa, kamanda akafari baada ya kuugua kwa masaa 18.
Kufuatia tukio hilo, nasema jimbo halina mbunge, kama hupo aende jimboni kwake aitishe mkutano wa hadhara aone kitakachomtokea. Natoa wito kwa yeyeto atakayemuona masele huko dar, amwambie sio mbunge wa shy mjini na jiuzulu mara moja kabla ya maandamano makubwa hivi karibuni. Natanguliza salamu zangu.

Hapo penye red unaonesha jinsi ulivyo hamnazo kwelikweli mbugila wee
 
Hatuwez kuwa nawe. Mwanga mkubwa, kinyamkera we, mchawi mtembea uchi, toka, in the mighty name of jesus christ, out, out, shy town is not yours, out.
Kamtu hakapendeki lakini bado kamekomaa tu. Wananchi wa shy wana hasira na wewe kinyamkera mkubwa. Wako tayar wafe wewe uondoke, kinachosubiliwa ni muda tu. Toooookaa.
 
Back
Top Bottom