Jimbo la Shinyanga mjini halina mbunge

Jimbo la Shinyanga mjini halina mbunge

mONA mAJIMBO mengi tu ni KAMA YAPO WAZI??????
 
Kama hujui mabomu ya machozi ni nini andamana hata sasa uone.
 
hata sumbawanga mjini, urambo magharibi, kalambo(rukwa) , sikonge tabora, uyui na hata sehemu walipo kina mathayo david mathayo, wassira, kombani, komba, na hata kina lukuvi wananchi wa maeneo hayo ni wa kuhurumiwa
 
Wananchi wa jimbo la shinyanga mjini, baada ya kupiga kura walitarajia kupata mbunge wao kupitia chadema, lah hasha, kamwe haikuwa hivyo. Kilichofuata ni milio ya bunduki na mabomu ya machozi ambayo yalifanikisha kuweka mbunge bandia MASELE wa ccm. Mbunge wa wananchi, MAREHEMU SHELEMBI akaenda mahakamani kupinga ushindi haramu wa bunduk na mabomu ya machoz. Kabla kesi kusikilizwa, kamanda akafari baada ya kuugua kwa masaa 18.
Kufuatia tukio hilo, nasema jimbo halina mbunge, kama hupo aende jimboni kwake aitishe mkutano wa hadhara aone kitakachomtokea. Natoa wito kwa yeyeto atakayemuona masele huko dar, amwambie sio mbunge wa shy mjini na jiuzulu mara moja kabla ya maandamano makubwa hivi karibuni. Natanguliza salamu zangu.

Acha uchochezi wewe, jipangeni upya for 2015.
 
Kweli kuna watu na viatu, hivi ni ww unaetambua ubunge wa mtu au ni sheria ? fikiri kabla hujaandika kitu hapa JF

Na wewe usimeze maneno kama yalivyandikwa elewa maana yake katika uwanja mpana, hapo kuna message kubwa umetumwa, This is a great thinker Arena, kama utakuwa unalewa juujuu utapata taabu kwa mathinker wakubwa.
 
Mweeh!Shelembi alifariki?Dah inanikumbusha jimbo la solwa.Mgombea alifariki,akaja na mbunge akafariki.Siasa ndumba nyingi
 
Bahati nzuri by the time pilika pilika zote hizo zinatokea mimi nilikuwa Shinyanga, wilayani Maswa, ni kweli CDM waligeuziwa matokeo na kupokwa ushindi wao.
Jioni hiyo tukiwa maswa tukapata habari kuhusu yanayoendelea Shinyanga, ikabidi muda huo huo tuanze kuondoka kwenda shy, hali ilikuwa mbaya kwa siku mbili consecutive.
Baada ya matokeo mapya kutangazwa, watu walijiapiza kumfanyia ubaya na kipindi haonekani jimboni maneno yaliongelewa kuwa anapaogopa shy na watu wakaenda mbali zaidi kuwa ole wake siku akitia mguu shinyanga.
Lakini kwa maneno niyasomayo sasa inaonyesha jamaa ameshaenda shy na hajafanywa chochote matokeo yake mada imebadilika, mnasema eti ole wake aitishe mkutano wa hadhara. Nijuacho ni kuwa ikitokea kaitisha mkutano wa hadhara mtaibuka jipya kwa kutishia kuwa ole wake atembee na wake zenu.
Tuwe straight katika kufikiri, maneno na ahadi nyingine yanawadharirisha wenyewe.
Kuweni strategic, pia tumieni muda huu kujifunza kutokana na yaliyowapata. Kinyume na hapo mtaishia kutendwa tu.
 
Usemacho ni kweli mkuu. Japo mada ni ya zamani kidogo, lakn hadi hivi sasa mbunge huyu kama amelisusa jimbo vile. Na habari kutoka kwa watu wa karibu yake zinasema hana mpango wa kugombea tena shy. Kwa kweli kijana kapata wakat mgumu. Nakumbuka alishaingia uwanja ni wa football kambarage, watu wengi walisonya. Jaman si wamhurumie tu. Mbona wabunge wengi waliiba lakn hawatendwi hivyo?
 
Back
Top Bottom