Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

Wewe ukisimamishwa na Mpendazoe utaangukia pua
 
Kwa CCM yetu lolote lawezekana.........

Ni kama Sioi Sumari alivyoingia kwenye siasa mara moja tu na kupitishwa kugombea Ubunge......

Na kote huko ulipita kwa sababu ya surname ya mzee Cigwiyemisi.....lol

Ila ukweli ni kwamba wewe si mwanasiasa.......Unalazimisha tu aisee,wewe ni mganga njaa.....period!..
 

- I grew up in Segereea, ndio maana mpaka leo nina Shamba na nyumba huko. Sina mpango wa kuongelea baba yako wala wa members wengine hapa maana ni irrelevant to the ishu,

- Kabla hujauliza kilichonirudisha US, nafikiri ni muhimu ungeuliza kilichonipeleka kwanza, ndio uulize kilichonirudisha au? ha! ha! ha1 ha! ha!

- Wenye akili humu wanaficha uoga wao, ila wengine mnsadhindwa kabisa kuficha uoga wenu, mnaniogopa hivi? WHY?


Willie @DSM City!
 
- ha! ha! ha! kwa sisi politicians hii yako inaitwa changamoto! saafi sana kumbe mnaniogopa hivi, saafi sana kujua! ha! ha! ha! ha!

- Keeep it on!

Willie @DSM City!

kweli paka mwizi akomi ataakikatwa ulimi!keep it up kaka,kazana utafika ukikosa omba viti MAALUM
 

- Mkuu mimi ninaitwa William Malecela, nothing to do na wagombea wa Arumeru, ha! ha! ha! ha!, waganga njaa wanabaki huko majuu kuuza maduka, na madegree kichwani kwa sababu tu ya kuogopa kurudi nyumbani! ha! ha! ha!

- Naona bado mzuka wangu unakutesa sana maana unalia FEAR tupu! ha! ha! ha! ha!, karibu bongo uje tucheze rumba hapa uona kama utakwua na haya matusi, hata muda hutakwua nao, huku usipocheza the game huli, bakia huko huko na kurusha matusi, huku wanaume tunahangaika na kinaeleweka! ha! ha1 ha1 ha!


Willie @DSM City!
 
I respect your words ila siku ukigombea Mtera isiwadanganye wana Mtera kuwa 'I grew up in Mtera' maana huwa hamkawii kukataa maneno yenu.
 
Willie.....

Ukweli ni kwamba sina FAER yoyote kwako.....Ninachojaribu ni kukueleza tu kwamba wewe si MWANASIASA na SIASA hauiwezi,Hauna sifa ya kuwa Mwanasiasa....

Waachie wanasiasa wafanye kazi ya siasa.....Wewe sasa ni kama mfamaji ambaye katu haishi kutapatapa,ndio maana mara unagombea EALA,leo unalitamani Segerea,kesho utalitamani la Ubungo,kesho kutwa utalitamani la Arusha,mara utaenda kugombea udiwani kule Segerea na mwishowe utaangukia kwenye uchaguzi wa Serkali za mitaa 2014......Amini nakuambia kote huko UTAANGUKIA PUA.......Watanzania sio wajinga tena....Hawahadaiki na majina...

Hivi unaweza kuniambia ni kwa nini mzee Cigwiyemisi alishindwa kwa aibu kura za maoni na Kibajaji Livingstone Lusinde?

Mwisho......Ukweli ni kwamba haumjui Bala in person......Ungekuwa unamjua nadhani ungemblock kwenye list yako ya marafiki wa Facebook.....Maana kule Bala ni rafiki yako sana...
 
Punguza munkar, acha jazba tumwache Jaji afanye kazi yake na kutoa hukumu yake.

Kumbuka kuwa mambo mazuri hayataki papara.

Acha sharia ifuate mkondo wake.


tehe..tehe..welcome back barubaru..
 
- Sijawahi kunywa pombe wala kuvuta sigara maishani mwangu, lakini thaanks anyways bro ila baadaye nipo Break Point kwenye Ugali wa Muhogo na Makange ya Samaki! ha! ha! ha! ha!

- See yah there!

Willie @DSM City!

Willie,
Angalia sana hayo Makange ya Break Point na Rose Garden...Kitambi hicho.
 

Hahaha. Mimi ameniblock fb. Anataka likes tu hata akiandka *****. Anataka kucfiwa tu. Kudadadeki.
 
I respect your words ila siku ukigombea Mtera isiwadanganye wana Mtera kuwa 'I grew up in Mtera' maana huwa hamkawii kukataa maneno yenu.

- Mtera ni original home, kwa my grandpa Mzee Kuhodanga, yaani Mzee wa Mvua! So ni home zaidi!

Willie @DSM, City!
 
Willie,
Angalia sana hayo Makange ya Break Point na Rose Garden...Kitambi hicho.

- Worry out bro, nilikuwa na-catch up na organic kidogo, ila imetosha sasa na nimekusikia sana mkuu sana!

Willie @DSM City!
 
- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!


Es!

Tupatie reson za kuwa open soon na kufikiria plan B na hiyn plan B ndo ipi?
 
Hahaha. Mimi ameniblock fb. Anataka likes tu hata akiandka *****. Anataka kucfiwa tu. Kudadadeki.

- Nimeona maneno ya Facebook huwa kwa kawaida siyajibu maana siamini JF ni mahali pa kujadili mambo ya picha za Facebook, HOWEVER:

- Facebook ni a Social Network, ambapo members wanabadilishana picha na kuongelea maisha yao ya kila siku na familia zao pamoja na rafiki zao, sio mahali pa siasa ingawa kuna wanaojaribu kupafanya pawe mahali pa siasa zaidi.

- Msimamo wangu ni kwamba ninaheshimu kila aliye-my friend kule na pia kuheshimu mawazo yao, pia kule kuna kina dada ambao wengi wao hawapendi kabisa mambo ya siasa, sasa unapoanza kushambulia my friends ambao hawakuhusu unavuka mipaka ya kistaraabu, so ninaku-block and then ninakuondoa, understand nina wananchi 600 wapo kando wanasubiri kuwa my-friends,

- Nimesema na ninarudia, mimi ni a Politician na pia a big Public Figure! ha! ha! ni hii FACT, sasa ni fair ukanirushia hasira zako at anytime you want could creless, wewe njoo huku nitukane as much as you want, lakini sio kwenye Facebook hapana kule nitakuondoa na kuku-block, chukua hasira zako kutoka kule njoo hapa unitukane as much as you want, ni powa sana, lakini kule hapana tujifunze kuheshimu sehemu na mambo yake!

Willie @DSM City!
 

- Mzuka wangu unakutesa sana maana the tizama unsema mwenyewe kwamba imebidi utumie Id ya uongo, kuwa kwenye my friends list ya Facebook, mimi will never do that angalau unajisema vizuri kwamba hulali bila kufuatilia maisha yangu imebidi utumie majina ya bandia kule FB, that is wasup maaaan!

Willie @DSM City!
 
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!

William @DSM City!

mkuu hapa utapigika mpaka utakoma,utaona bongo haifai soon,chezea bongo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…