- Kuna dalili kubwa sana kwamba huenda hili jimbo likaishia kuwa open soon, I hope CCM wana plan B in works!, na siamini CDM watasimamisha the same candidate, lakini muhimu CCM wakaaanza kufikiria plan B! now!
Es!
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
Hiyo Nyumba ulijengewa na Step Mother kutokana na kale kamgawo ka Patel wakat ding ana dream za kuingia magogoni but unfortunately ikala kwake mwishoni.- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
Ni kweli kabisa Mnyika na Lissu watatemwa kama Lema ili kuinusuru CCM na kupunguza kasi ya CHADEMA. Mbona hukumu ya Lema ilijulikana kabla? Hakuna haki kabisa, kilicho bakia ni Mungu atuamulie mwenyewe na kutunusuru. Walioshinda ubunge kwa kushikwa na masanduku ya kura bado si wako bungeni? wangekuwa ni CUF, CHADEMA masanduku yangeonyeshwa hadi CNN na BBC. Mpango wa rushwa ya gachacha ushindwe kabisa.
Hizi dili za kikwete anajiongezea tu maadui
- Mkuu wangu heshima mbele kwanza, well baaada ya kukaa sana Majuu chakula kule sio organic kama hapa bongo, so was trying to catch up organic hapa bongo, lakini mind you nakimbia Mile 2 kila siku asubuhi njoo huku baharini asubuhi, so dont worry nilikuwa nina-catch up na organic kidogo za bongo,na vitumbuwa, maandazi na sambusa sana you know! ha! ha! ha! na Chips mayai kwenye makalai mtaani super sana you know! ha! ha! ha!
- HOWEVER; huna hoja on Segerea au? ha! ha! ha!
Willie @DSM City!
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
Wewe umejuaje? Au ndio tayari hukumu za mahakama mko nazo mkononi? Duh, kweli Magamba noma!
- Ha! ha! ha! ha! wacha uoga wewe! ha! yaaani unaiogopa hivi vipi ndugu yangu! ha! ha! ha!, tulia mkuu wangu!
Willie @DSM City!
Jimbo lako liko NYC kijana, wapigakura wa Segerea hawakujui
Wewe sio mwanasiasa bana..........- ha! ha! ha! kwa sisi politicians hii yako inaitwa changamoto! saafi sana kumbe mnaniogopa hivi, saafi sana kujua! ha! ha! ha! ha!
- Keeep it on!
Willie @DSM City!
Dah! Bala za usoni zinaruhusiwa? mbona umempa za uso sana!!!!!Wewe sio mwanasiasa bana..........
Ukweli ni kwamba hauna sifa za kuwa muwakilishi wa wananchi katika ngazi yoyote ile......Wewe si kiongozi/hauna sifa za kiongozi/mwakilishi wa wananchi.....Sidhani kama una haja ya kupoteza muda wako kugombea Segerea....
Ulipotangaza nia ya kugombea EAC tulikwambia hapa kwamba hauna sifa.....Badala yake ukaja na kejeli/matusi/kebehi kibao(na swahiba wako FMES)....
Wewe unafit zaidi kwenye Muziki(Ngwasuma),u DJ ama ile show ya Growing Up African..... lakini kwenye siasa HAPANA.....Big NO.....
Binafsi naona ulitaka kuingia EALA kwa ajili ya kuganga njaa baada ya mambo kukuendea kombo US....Maelezo yako na POROJO nyingi ulizoziweka hapa JF pamoja na Kiingereza chako kibovu vilionesha dhahiri kwamba wewe HAUNA SIFA za kuwa muwakilishi wa Tanzania katika wala kuwawakilisha wananchi wa Segerea.....No wonder Anthony Komu alikushinda kwa kura....
Leo hii unadiriki kujitangaza kwamba wewe ni plan B ya CCM...........What a joke...
Wewe si mwanasiasa bana......Ni mganga njaa.....Kuwa ALOSTO kitu kibaya sana
Narudia tena,wewe si mwanasiasa.......Unalazimisha tu na unaitumia JF kama mgongo wa kujikuza kisiasa(sory kwa kusema hivi)....
Wazee wa Sauti za Makoroboi
@ Gamboshi.
njoo Mawenzi Garden ure bia!
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
Nakushauri fuata maneno ya kaka yako Makongoro, ukitaka kushinda gombea chama pinzani (CDM) huko kwa magamba huwezi. Baba ako yalimshinda Mtera we utayaweza???- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
Tatizo lako Willy bado unaishi kwa kuangalia kimvuli cha Baba yako wakati wewe unasahau tayari ni mtu mzima unayejuwa kupembuwa mazuri na mabaya na kama ungekuwa unajuwa japo kidogo kupima upepo wa kisiasa ni kwamba Jimbo la Ukonga (Segerea )halijawahi kupata mbunge bora zaidi ya Makongoro Mahanga.
Je ni kwa nini tulimuangusha Makongoro Mahanga kwenye last General election?
Ni kwamba kabla ya jimbo kugawanywa nadhani jimbo letu ndilo lilikuwa lina wapiga kura wengi kuliko jimbo lolote hapa Tanzania. sasa basi Makongoro alitalajia kwa jimbo kugawanywa ingekuwa yeye ni rahisi kwake kushinda kumbe alichokisahau kuanzia mwaka 2010 kauli mbiu ni kuiondoa CCM madarakani
Analysis yako inatakiwa ianzie hapa ni kwa nini Makongoro alikuwa na jimbo kubwa na alijitahidi kufanya kazi na mfano mzuri ni kata ya Kinyerezi na ni je ni kwa nini baada ya yeye Makongoro kupigania jimbo ligawanywe na likaganywa lakini bado tulimkataa kwenye sanduku la kura?
Simple mathematics, hapa hatuachezi sindimba hii ni vita na ushindi uko very clear ni hiari yako kuchaguwa upande either uko na sisi au uko na wao, lakini usituletee hadithi za kuleta mabadiliko ukiwa ndani ya CCM, otherwise nakukaribisha sana Segerea tukufundishe Siasa.
Wewe sio mwanasiasa bana..........