FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,516
- 46,602
Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi.
Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es salaama centre kabisa, haujawahi kuzungumzwa hata mara moja toka kuanzishwa kwa hii nchi?
Nikauliza hatuna mbunge? Nimaambiwa yupo, anaitwa Bona Kaluwa, sasa nikajiuliza, huyu mbunge ni Bubu? Nikaambiwa hapana, ana mtundio wa Ubongo? Nikaambiwa hapana.., ni kipofu kwamba hizi barabara mbovu hazioni? Nikaambiwa sio kipofu.., nikashangaa sana!
Hapa majuzi nikaambiwa aliyechaguliwa na CCM (lazima atashinda tu) kwenye kutuwakilisha bungeni ni mtu mwingine anaitwa Kamoli, nikasema bora sasa tunaenda na sisi kusemewa huu ubovu wa barabara za Tabata huko bungeni, pengine tutasaidiwa na sisi.
Hee, si nikaja kuambiwa eti alikamatwa ugoni na mumewe, hivyo akaamrishwa aache kutumia jina la Kaluwa la mume wake.., ndio karudi kutumia la baba yake la Kamoli, kumbe ni bubu yule yule?!!
Sasa ni hivi, sisi Tabata hatutaki bubu bungeni, miaka 10 bungeni hujawahi kufungua mdomo hata siku moja!! Nani atajua kero za ubovu wa barabara Tabata?!
=======================
Huyu mtu aje aseme mwenyewe kwanini anakuwa bubu bungeni, vinginevyo kazi yetu itakuwa ni kupiga picha haya mashino ya Tabata na kuyaweka humu kila siku hadi 2030..,