Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,787
- 41,162
Ukiachana na kumuona kila mara kwenye media waziri kivuli wa mambo ya nje, na mbunge wa jimbo la jamhuri kupitia jimbo la iringa mjini ningependa kujua ni kwa namna gani jitihada zake zimewezesha kuchochea kasi ya maendeleo jimboni kwake.
Imebidi kuuliza hili swali kwani kwa kweli mbunge huyu yupo active sana kuaddress issues nyingi sana kwenye media zinazohusiana na Taifa letu pendwa.
Huyu ndugu hakuwa nyuma hata kwenye yale maigizo ya sakata la rushwa yaliyoibuliwa na wabunge wa arusha mjini na arumeru mashariki.
Kutokana na jitihada hizo za kuwa active sana kwenye vyombo vya habari sio vibaya akapimwa kwa level ya maendeleo iliyopo jimboni kwake.