Jimbo la Iringa Mjini toka Msigwa amekuwa mbunge limepiga hatua zipi kimaendeleo

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,742
41,070
Ukiachana na kumuona kila mara kwenye media waziri kivuli wa mambo ya nje, na mbunge wa jimbo la jamhuri kupitia jimbo la iringa mjini ningependa kujua ni kwa namna gani jitihada zake zimewezesha kuchochea kasi ya maendeleo jimboni kwake.

Imebidi kuuliza hili swali kwani kwa kweli mbunge huyu yupo active sana kuaddress issues nyingi sana kwenye media zinazohusiana na Taifa letu pendwa.

Huyu ndugu hakuwa nyuma hata kwenye yale maigizo ya sakata la rushwa yaliyoibuliwa na wabunge wa arusha mjini na arumeru mashariki.

Kutokana na jitihada hizo za kuwa active sana kwenye vyombo vya habari sio vibaya akapimwa kwa level ya maendeleo iliyopo jimboni kwake.
 
CCM imeifukarisha Tanzania
 
Wewe una maendeleo gani mbona hujamlaumu baba yako. Nina uhakika baba yako angelitimiza wajibu wake usingelikuwa JF unabwabwaja. Ungelikuwa na PhD imetulia kama za wateule, unateuliwa kushika wadhifa kama wanavyoteuliwa ambao baba zao walitimiza wajibu wao. Hivyo na Msigwa atashindwa kama walivyoshindwa wengine akiwemo baba yao na baba yangu.
 
Back
Top Bottom