Huyu dada mstaarabu sana, wala hakuwa na nia yakumtoa manundu huyu jamaa, maana angeweza kufanya hivyo ndani ya dakika 1 moja! Jamaa ndo mkorofi, hemu angalia, ameachiwa kaanza kurusha vingumi vyake,akarudishwa tena chini! Chakusikitisha huyu jamaa alikuwa anawania kumvua nguo huyu dada, anamvuta blauzi yake ili amuweke maziwa nje! Mpumbavu sana!
Nawapenda wanawake wote, nyie ndo mama zetu, dada zetu, wake zetu na wadogo zetu, anae waponda apate lana!