ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,826
Wakuu tupo katika club Cha pombe hapa tunapiga stori na wananchi wenzangu mdau mmoja kasema kwamba nyoka akifa ule uti wa mgongo ukibaki ardhini halafu ukachomwa Basi jua umepata majanga Kwani huo mfupa hauonekani kirahisi unaenda mbele haunaga reverse unaenda mpaka kwenye moyo ukikaa vibaya na pia Kuna uwezekano ukapata kansa kubwa..
Na mfupa wa samaki nako na wenyewe sio mzuri hasa ukikuchoma nafuu ukukabe katika shingo.mwiba mwingine hatari Ni wa katani.
Na mfupa wa samaki nako na wenyewe sio mzuri hasa ukikuchoma nafuu ukukabe katika shingo.mwiba mwingine hatari Ni wa katani.