Jiko la shamba halichaguwi kuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiko la shamba halichaguwi kuni

Discussion in 'Jamii Photos' started by Falcon, May 24, 2012.

 1. Falcon

  Falcon JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapo sikia na kuona mijitu mizima iliyokwisha zao inatowa magari na harama nyingine kwa kabinti kama huyu alimradi tu shoka lifanye kazi yake ,kuna uwezekano anayowafanyia hata kwa wake zao au wapenzi wao hawafanyiwi.au hawapewi fursa ya kufanya. mfungo wa pakacha.JPG
   
 2. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Tatizo Jiko lenyewe liko segerea sasa hivi kuni litazichagulia wapi?
   
 3. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ni tabia ya uzinzi tu walio nayo wanadamu wake kwa waume hakuna cha kufanyiwa nini wala nini!
   
 4. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ni tabia ya uzinzi tu walio nayo
  wanadamu wake kwa waume
  hakuna cha kufanyiwa nini
  wala nini!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hata kufundwa hajafundwa. Kama kina nanihii.
   
 6. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katoto haka bwana!!! gerezani kule kazi wanayo, maafisa na nyota zao wanoe mapanga tu!!
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  wataosha rungu mpaka baaas
   
 8. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  huko sege kuna chelewa za nyama ( vidole)
   
Loading...