Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Mji wa Kigoma ulikosa maji kwa miaka ishirini mbali kuwa ziwa lipo kilimita moja kutoka mjini. Upo mradi unasuasua sasa hivi na haujulikani utaisha lini.Kukosa maji kwa TZ ni ulafi wa viongozi tu........Kama Dubai jangwani wana maji safi na salama ndio tutashindwa sisi wakati tumezungukwa na maziwa,mito na vyanzo kibao vya maji ardhini?
HasMji wa Kigoma ulikosa maji kwa miaka ishirini mbali kuwa ziwa lipo kilimita moja kutoka mjini. Upo mradi unasuasua sasa hivi na haujulikani utaisha lini.
Kupanga ni kuchagua. Waafrika huwa tuna pick priorities zetu vibaya.
Kabisa mkuu ,utakuta waziri wa elimu anaenda na gari la mil 300 kwenda kukagua shule ambayo haina madawati huku akiambatana na convoy yenye magari 10 mi landcrusiser Mkonga kwenye msafara wake.Mji wa Kigoma ulikosa maji kwa miaka ishirini mbali kuwa ziwa lipo kilimita moja kutoka mjini. Upo mradi unasuasua sasa hivi na haujulikani utaisha lini.
Kupanga ni kuchagua. Waafrika huwa tuna pick priorities zetu vibaya.
Kwani wewe upo sehemu gani?dodoma sehemu gani mkuu!?.
Kwa hiyo ikiwa kawaida, ndo iweje sasa..!!?? Hali iachwe kisa ni kawaida?Mbona chamwino hiyo ni kawaida hata mzee alivyohamia kule si walimwambia tatizo ni maji na umeme
Wanadodoma vichwa maji kubadilikaKwa hiyo ikiwa kawaida, ndo iweje sasa..!!?? Hali iachwe kisa ni kawaida?
Dodoma sio mji wa kuishi kwanza unajua Kali kuliko maelezo, maji ni chumvi kiasi hata kupikia chai huwezi kunywa hyo chumvi, Mimi kunishawishi kuishi mji wa vile ngumu na siweziduh!? basi ni changamoto sana mkuu, nlikua na semina last week hapo nkafikia karibu na mjini maeneo yanaitwa kikuyu, changamoto nliyokutana nayo ilikua maji ya chumvi na kupauka.. ila hyo shida nliambiwa ipo sana wilaya ya BAHI. .
wahusika walishughulikie hili.
na uwanja wa mpira na flyover.....................yaani ule mji sijui kwa nini unaitwa jijiHuo ndo uchumi wa Kati, Dodoma inahitaji zaidi uwanja wa ndege wa kimataifa kuliko maji!
kuna kipindi mwezi uliopita yalikatika karibu wiki nzima bila taarifa....ngachoka kabisaMchagueni Lissu atawaletea maji kwani Hilo no hitaji muhimu! Akili za ccm sijui zimekaa upande gani wa miili yao! Miaka 50+ ya utawala wao bado wanashindwa kuwatatulia wananchi kero ya maji! Sasa waliipa dodoma hadhi ya jiji ya Nini ilihali Haina maji? Dodoma morning kura Lissu awaondolee kero ya maji!
Kwahiyo hayo mawili huwa hayakai pamoja?Huko iraq na Algeria wakiambiwa wachague kati ya ukosefu wa Maji au ukosefu wa amani watachagua ukosefu wa maji
Amani ndio kila kiti, mengine yanavumilika
Amani tunayo toka enzi za Mkoloni, tunalipa kodi na tunataka maji sasaHuko iraq na Algeria wakiambiwa wachague kati ya ukosefu wa Maji au ukosefu wa amani watachagua ukosefu wa maji
Amani ndio kila kiti, mengine yanavumilika
Wagogo vuguvugu bado, wapeni miaka 20; Mentality ya wale jamaa hata ukikaa nao kuongea ni watu wa kuridhika sana. NI moja wapo ya ngome imara sana ya CCM hata kushinda kanda ya ziwa.Kidumu Chama Cha Majambazi CCM. Dodoma kuweni na jambo lenu 28/10/2020.
kieleziNaomba kueleweshwa neno DUMU ( dumu) ktk mada tajwa limetumika likiwa na maana ipi??