Jiji la Mbeya kama kijiji

Nadhani ulipelekwa kwenye hotel kulingana na uwezo wako mdogo wa kipesa ulionao. Mbeya Ina hotel mpya zaidi ya 50 zenye hadhi
 
Mwanza gani unayoisema? hata Arusha ninayojua! Ndiyo maana tunadharauliwa na nchi za jirani! hivi ni wapi Tanzania hii ambapo mtu anaweza kuwacheka sehemu nyingin ya Tz,hebu acheni kuleta ujinga wenu hapa.
Wewe unaijua Arusha vizuri? Au unaongelea guest za makao mapya? Yan unauliza arusha kwa mahotel na sehemu za starehe? Inaonyesha huijui arusha
 
Kitu pekee ambacho Mbeya wanatakiwa wajitahidi ni barabara. Ni aibu sehemu kubwa ya mji una barabara za vumbi. Hasa mwanjelwa
 
Mtaa gani? Au nao Siri?
Mimi sikai mbeya, lakin naenda Mbeya kila baada ya miezi 2. Hivyo usinilazimishe ujinga wako niwe natembea na note book naandika majina ya hotel. Mwenye macho haambiwi ona. Barabara yote kuanzia mataa ya pale carnival kama unaenda makambako, pembeni mwa barabara kuna magorofa ya hotel kila upande. Unaweza kuanzia hapo. Chukua notebook ukaende kuandika
 
Ndo maana mtoa mada kasema Mbeya Kama kijiji. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…