Mchawi humuona mchawi mwenzake, kila siku napita mwanjelwa ila sijawahi ona nyoka au kitu chochote cha ulozi ( haimaanishi kwamba nakataa kuwa havipo) labda ushuhudie uliviona onaje wewe?
Mm pia nlienda mbeya for the first time aaah hakuna kitu yaani sikuwa nikijua km wanyakyusa nao ni wazuri kwa kujisifia km wazee wa earthquake
Mji mzuri TZ ni upi? Ukilinganisha na mji gani?
Umesahau na kanga moko,midundiko,wamwaga radhi,vigodoro na wauza unga.Kaka nimesoma post yako nikisubiri uniambie, ulikabwa, ulikutana na hirizi zimetupwa, mabinti wavaa nusu uchi, mayai viza njia ya panda, ujambazi, gharama za maisha, ulipishana na manyau nyau anasaka wachawi, vibao vya waganga kila baada ya hatua moja....... Unataka mbeya wafyeke misitu kama hapa dar?
Mbeya ni uchafu unapitwa mbali na kitongoji kidogo Mkoani Kagera.
Mbeya Ni Kijiji haswaa. Hakuna jipyaCity Pub, Hill View ni upuuzi mtupu