Hiyo yote ni uvivu wa kufikiri. Kuna utafiti ulifanywa na taasisi ya kuendeleza majenzi - BRU miaka ya 1974; walitoa mapendekezo kwamba mji wa Mbeya na Dodoma haiwezi kujengwa majengo yenye ghorofa zaidi ya Sita, sababu miji hiyo iko eneo la Bonde la Ufa. Kwa tabia, maeneo yaliyo kwenye bonde la ufa huwa kunatokea matetemeko ya ardhi kwa hiyo sio salama kwa majengo marefu.Kwenye red nipe sababu Mr,
Mbeya ni mji wa kipuuz kama alivyosema mtoa mada. wao wanapenda sifa za kijinga tu lakini opportunities zipo ukizingatia upo njia panda ya MALAWI, ZAMBIA/ZIMBABWE/CONGO DR lakin kinachoiangusha mbeya ni UCHAWI narudia tena UCHAWI halafu ukiwakuta jumapili wanajazana makanisani utafikiri kweli wacha Mungu kumbe sanaa tu.
Umenena mkuumimi hii post yako nairipoti lakini nakushauri ifute utapata shida wadau wakiingia humu wapo wengi kichizi. Hujui hao unaowaita Wachawi ndio wanaolisha familia yako!? mimi nimekaa hapo mbeya kwa miezi 6 mfululizo. Huwezi kufananisha na mkoa mwingine wowote kwa mahitaji muhimu, chakula, hewa safi, utulivu, watu wastaarabu yaani mimi huwa naliita jiji la mbeya StressFree City.
Umenena vyema mkuu,anaona dar ndo the best city kwakelabda kama umetokea nje ya nchi ila jiji la ovyo kuliko yote duniani ni Dar, alafu kama hujielewi vile uzuri wa jiji kwako ni hotel tu? poor you!
mbeya ipo kama iringa
mkuu ndo hivy hapo mjini tu mwanjerwa kubaya af mbeya kuchafu mwezi wa mvua hakutamanikiUmeishusha Mbeya
Kwan dar msim wa mvua inatamanikamkuu ndo hivy hapo mjini tu mwanjerwa kubaya af mbeya kuchafu mwezi wa mvua hakutamaniki
Mkuu kwa uelewa wangu dual carriage sio lazima iwe na four lanes...zinaweza zikawa sita hata nane...simply ni high way with two separate sides..!
Mfano...hii ni dual carriage with six lanes...View attachment 356424
yeye anaangalia nyumba za wageni tuu ndo kipimo chake cha uzuri wa mji,au anataka kutugegedea dada zetumimi hii post yako nairipoti lakini nakushauri ifute utapata shida wadau wakiingia humu wapo wengi kichizi. Hujui hao unaowaita Wachawi ndio wanaolisha familia yako!? mimi nimekaa hapo mbeya kwa miezi 6 mfululizo. Huwezi kufananisha na mkoa mwingine wowote kwa mahitaji muhimu, chakula, hewa safi, utulivu, watu wastaarabu yaani mimi huwa naliita jiji la mbeya StressFree City.
mkoa wenyewe alikotoka unaweza ukakuta ni dar,mkoa ambao watu wanagegedeana makaburiniSasa wewe si katake advantage maana una akili zaidi ya hao unao wadharau,umetokea mkoa wa wenye akili! poor Tanzanian!
mbeya ni prone to earthquake kulingana iko ktk bondela ufaKwenye red nipe sababu Mr,