Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

mbeya hotel kama nakumbuka ipo sambamba na uwanja wa sokoine na bank ya crdb..mbona ile hotel ya zamani sana.au alijua ipo hiyo tu.zipo hotel nzuri sana tu..labda mtoa maada alitaka aione benjamini mkapa tower,ppf,bot,azione mbeya wakati akiwa huku tu anaishia maisha club
ni ya kitambo sana,mkwenzulu,na riftvalley,hizo ni kongwe xn
 
Achen uhuni mbeya hakuna kitu kule...pumba kabisa bora hata na kahama
 
Mbeya kitambo sana mitaa ya jakaranda ndio hom ,shule ya msingi azimio

Sema mbeya majambazi yamekithiri nakumbuka tumevamiwa zaidi ya Mara 20 ase halafu kipind ambacho nakaa na matha tu dah kila nikikumbuka milango yanapigwa na mawe sukumwa sana mama anaishia kupiga makelele tu ila uwezo wa Mungu hawakufanikiwa kesho yake tukaweka geti kwa mbele ya mlango ila wapumbavu wakabuni njia wanakata bati na kuingia ndani ,

Tumenusurika sana ,sema uzuri majirani wetu walikuwa na bunduki

Ase hivi mbeya ujambazi bado unaendelea ase maana pale jakaranda saa 2 lzm mjifungie ndani

Sema nimeya miss mafulis,makatapela na kisamvu sana
 
py thon,
Hyo ilikua zamani mkuu kuanzia 2012 kushuka chini, kipindi hicho pale mabatini watu ikifika saa mbili usiku kama unataka kutoka vaa helmet kichwani, lakin saiz kumetulia sana.

Tupo tunavuna viazi ukitaka hata kyepe cha jero utapata. Karibu
 
Asante kwa update mkuu
Nataka kwenda huko Na nilianza kuogopa
 
Yap 2006 ndio nimesepa mbeya

Najua lzm kutakuwa kumebadilika sana tofaut na kipind kile

Nataman kuja ila hope karibuni ntatembelea mbeya tena ,viazi bei chee sana.kwa masuala ya chakula najua mbeya hakuna gharama ,watu wa mby kwa hilo wanabahati sana
 
Unahukumu mji kisa hotel.Kwann hukwenda Peaceofmind ? Mbona Mafiat kuna hotel nzuri.Hizo ulizosema ni mapagale lkn nahisi huyu taksi driver naye alikuwa mlugaluga flan.Mbeya ni kijiji kukubwa kwa kuangalia issues za urban planning lkn si uliyoyasema
 
Ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties.

Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.
**Changamkieni fursa ya Mipaka ya KASUMULU & TUNDUMA kufunguka kibiashara.
*** Cape 2 Cairo Road inayopita Mbeya nayo ni fursa za kiutalii lakini mmekalia kuzugia dini Jumapili mchana, USIKU kama kawa.
Wakuu naomba mtuchane kuhusu mji wetu wa moro town
Maana mm n mzawa ila plan ya mji haiko pw hata duchu
Ila hongera kwa kuplan msamvu bus terminal
Ukisikia jiji la mbeya utafikiri bonge la jiji kumbe upuuzi mtupu. sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) nikafika hoteli ambayo ndio wanaisifia ni classic (Mbeya hotel) duuh ni kama nyumba ya makumbusho nikamuambia dereva nipeleke nyingine tukaenda Paradise Hotel (nayo ya kipuuzi pia) nikaenda nyingine (GR City) daah ndo nikajua kumbe zile sifa za wanyakyusa hapo Dar kwao hamna lolote sasa sehemu ya kula ndo ishu yaani labda uende CITY PUB hakuna sehemu nzuri ya kupata varieties.

Poor Mbeya inastahili kuitwa KIJIJI CHA MBEYA si JIJI LA MBEYA mmekalia UCHAWI tu.
**Changamkieni fursa ya Mipaka ya KASUMULU & TUNDUMA kufunguka kibiashara.
*** Cape 2 Cairo Road inayopita Mbeya nayo ni fursa za kiutalii lakini mmekalia kuzugia dini Jumapili mchana, USIKU kama kawa.
Wakuu naomba mtuchane kuhusu mji wetu wa moro town
Maana mm n mzawa ila plan ya mji haiko pw hata duchu
Ila hongera kwa kuplan msamvu bus terminal
 
Yap 2006 ndio nimesepa mbeya

Najua lzm kutakuwa kumebadilika sana tofaut na kipind kile

Nataman kuja ila hope karibuni ntatembelea mbeya tena ,viazi bei chee sana.kwa masuala ya chakula najua mbeya hakuna gharama ,watu wa mby kwa hilo wanabahati sana
kwa suala la misosi ukishindwa kuishi mbeya huwezi kuishi sehemu nyingine yyte tanzania hii, karibu sana
Asante kwa update mkuu
Nataka kwenda huko Na nilianza kuogopa
hapana mkuu, hakuna ishu yyte zaidi ya maneno ya watu, karibu sana bossi wangu
 
Mbeya punguzeni ULOZI ("Uchawi")
Nimeishi Mbeya kwa kweli kama wewe sio mchawi huwezi kufanya biashara pale..hasa maeneo ya Mwanjelwa Kabwe mpaka Uhindini ni uchawi tu customer care ziro wanachojua ni kufuga manyoka tu
 
kwa suala la misosi ukishindwa kuishi mbeya huwezi kuishi sehemu nyingine yyte tanzania hii, karibu sana

hapana mkuu, hakuna ishu yyte zaidi ya maneno ya watu, karibu sana bossi wangu

Asante sana mkuu
 
Nimeishi Mbeya kwa kweli kama wewe sio mchawi huwezi kufanya biashara pale..hasa maeneo ya Mwanjelwa Kabwe mpaka Uhindini ni uchawi tu customer care ziro wanachojua ni kufuga manyoka tu
Mkuu hakuna kitu kule aiseee
 
Nimeishi Mbeya kwa kweli kama wewe sio mchawi huwezi kufanya biashara pale..hasa maeneo ya Mwanjelwa Kabwe mpaka Uhindini ni uchawi tu customer care ziro wanachojua ni kufuga manyoka tu
Mchawi humuona mchawi mwenzake, kila siku napita mwanjelwa ila sijawahi ona nyoka au kitu chochote cha ulozi ( haimaanishi kwamba nakataa kuwa havipo) labda ushuhudie uliviona onaje wewe?
 
Nimeishi Mbeya kwa kweli kama wewe sio mchawi huwezi kufanya biashara pale..hasa maeneo ya Mwanjelwa Kabwe mpaka Uhindini ni uchawi tu customer care ziro wanachojua ni kufuga manyoka tu

Mbona mnazidi kunitisha
 
Back
Top Bottom