Ukapimwe akili si bureMbona Mbeya kama Mwanza mi sioni tofauti.
Kijana wa arusha katika ubora wako.mbeya ni kijiji tu mbele ya arusha
Vipi ile maugoro,migorore,lodwaa,ngiloriti na mkuyati ya kunywa yenyewe na ile ya kunywa na supu?,halafu vipi ile chinja chinja na kitu cha arachuga? bila kusahau kufuga rasta(dread locks)?Mimi nafikiri Arusha inajulikana kimataifa zaidi ya Miji yote Tanzania....DAhh...ninabahati kuzaliwa Arusha..
Ulikuguu mazingalule ngobhoo ingezimbwa fofofooo.Malafyale ulikuguu?
Nina hasiraaa ntarudi baadae........
Mkuu barudi ni noma kwa kweli,si unajua ni highland? THE HIGHER YOU GO THE COOLER IT BECOMES au vipi?laikini wakora wanasema eti ikiwa baridi unatafuta VICHENCHEDE?Currently kuna ujenzi/majengo hadi gorofa 10,7,6 etc unlike upotoshaji wa zamani eti mwisho gorofa 3,kuna industrial zones zimetengwa Uyole,Iyunga/TAZARA na maeneo ya Songwe jirani na Songwe intl.airport,University campus za kutosha,jam ya maana na traffic lights,barabara kuu zote za kuingia na kutoka jijini ni lami japo ujenzi unaendelea kati ya Chunya-Makongolosi-Rungwa-Tabora/Singida to link Lake zone na Southern Highlands.So mbeya ya jana sio ya leo,but baridi mmmhh! ni noma sana.
Mtu atakuwa akiingia jijini kuanzia Uyole mashamba ya Kilimo to City centre na kuanzia Mbalizi upande wa Iwambi mpya along TANZAM mwenyewe utapenda mji wa kisasa.Pia inajengwa dual carriage way frm Uyole to Mbalizi/TANZAM Highway,pia Songwe Bypass km40
from Uyole-Mbalizi miradi hii itabadili hadhi na taswira ya jiji la Mbeya
Mmmmm, mkuu hapo kwenye bypass nilidhani ni Under/Overpass nikajiuliza mara mbili mbili!Dual carriage way-barabara ya njia 4(lanes) kama hizo za dar(Sam Nujoma,Mandela or Morogoro roads),Bypass-manake ni njia maalumu ya mchepuko lengo lake ni kufanya magari yasilazimike kupita katikati ya mji na kuleta jam,kwa hapa mbeya itasaidia malori yanayoenda nje ya nchi yasipite katikati ya mji
Currently kuna ujenzi/majengo hadi gorofa 10,7,6 etc unlike upotoshaji wa zamani eti mwisho gorofa 3,kuna industrial zones zimetengwa Uyole,Iyunga/TAZARA na maeneo ya Songwe jirani na Songwe intl.airport,University campus za kutosha,jam ya maana na traffic lights,barabara kuu zote za kuingia na kutoka jijini ni lami japo ujenzi unaendelea kati ya Chunya-Makongolosi-Rungwa-Tabora/Singida to link Lake zone na Southern Highlands.So mbeya ya jana sio ya leo,but baridi mmmhh! ni noma sana.
Mkuu kwa uelewa wangu dual carriage sio lazima iwe na four lanes...zinaweza zikawa sita hata nane...simply ni high way with two separate sides..!Dual carriage way-barabara ya njia 4(lanes) kama hizo za dar(Sam Nujoma,Mandela or Morogoro roads),Bypass-manake ni njia maalumu ya mchepuko lengo lake ni kufanya magari yasilazimike kupita katikati ya mji na kuleta jam,kwa hapa mbeya itasaidia malori yanayoenda nje ya nchi yasipite katikati ya mji