njomba baada ya dar ni mwanza njomba kwingine ndy kunafuatiaMwanza gani unayoisema? hata Arusha ninayojua! Ndiyo maana tunadharauliwa na nchi za jirani! hivi ni wapi Tanzania hii ambapo mtu anaweza kuwacheka sehemu nyingin ya Tz,hebu acheni kuleta ujinga wenu hapa.
Hauwezi kufika kwa lipi....tukisema vivutio ni kweli kuna mlima kilimaanjaro na migodi mikubwa ya amadini lkn hivyo vyote ni mali ya serikali... Kama boda ya masaa 24 hata mbeya ipo na ni mbili tu hapa Tanzania kuna ya mbeya na namanga arusha. Kwa mzunguko wa kibiasha mbeya ipo juu sasa sijui hapa tunashindana nini? Kama ni mipango miji nakushauri usiongelee kabisa maana Tanzania ukiondoa dar kidogo mikoa mingine chenga tupu.
Hata mimi nimemshangaa anaposema eti hotel zinazosifika kama "Mbeya Hotel" hizi hotel za miji ya zamani kama Iringa Hotel, Moshi Hotel, Morogoro Hotel, huwezi kuzikuta zikiwa kwenye kiwango cha kisasa hadi mleta mada aziweke kwenye hotel zinazosifika katika miji. Labda yeye kwa mawazo yake alifikiri anaposikia Mbeya hotel ndiyo itakua ya hadhi ya juu zaidi kwasababu imebeba jina la mji, bila kujua ni hotel ya lini. Hata siku moja siwezi fika Morogoro na kuanza kuulizia nipelekwe Morogoro hotel.
Mwambie aende akaione Tanga HotelHata mimi nimemshangaa anaposema eti hotel zinazosifika kama "Mbeya Hotel" hizi hotel za miji ya zamani kama Iringa Hotel, Moshi Hotel, Morogoro Hotel, huwezi kuzikuta zikiwa kwenye kiwango cha kisasa hadi mleta mada aziweke kwenye hotel zinazosifika katika miji. Labda yeye kwa mawazo yake alifikiri anaposikia Mbeya hotel ndiyo itakua ya hadhi ya juu zaidi kwasababu imebeba jina la mji, bila kujua ni hotel ya lini. Hata siku moja siwezi fika Morogoro na kuanza kuulizia nipelekwe Morogoro hotel.
ha ha ha lift ile iliyozinduliwa na mkuu wilaya? Wanyakyusa mnakera na kuboa asee