Jiji la Mbeya kama kijiji


Bora bhana umempa ukweli huyu jamaa,Watu tumepatia maisha pale,halafu yeye anatuletea dharau,hivi cjui alizaliwa wapi huyu!!!.
 

i love my green city,god bless you mbeya.
 

Mkuu ngoja tumsamehe kwa maana hajui aliloliandika.
 
Kwa hiyo ndo kusema wewe una akili sana kuliko wataalamu wote walioipandisha hadhi Mbeya hadi kuwa jiji.
Wanaweza kuwa pia wanatofautiana ktk hisia na mitizamo mengine iliyoamua mbeya iwe jiji.
 
kwanza ulipaswa kututajia kwenu wapi kabla ya kutuandikia upuuzi wako. Hizo hotel nzuri kwenye majiji unayoyapa credit ulijenga wewe?
 
Ndo nasoma Leo huu upuuzi so kwa Kigezo cha hotel Mbeya inabidi iwe kijiji.Nitajie kijiji gani kuanzia na kwenu kwenye ata izo mbaya unazosema.
Kumbuka Dreva wa Tax alikupeleka hotel za hadhi yako.
Fuatilia Koffi Annan Mara ya mwisho alilala wapi napo uende Tax charge isije ikakuahinda kulipa ndo wasi wasi wangu.
Alafu zama izi watu mwaongelea uchawi ivi how do you rate it kama nawe si mchawi.
Kumbuka vigezo vya kuwa jiji na pia kumbuka apo ndo kitovu cha foodbasket of the nation.
Next time ukija tafuta wenyeji sio unakurupuka tuu.
 
Njoo jiji la Tanga ulale Tanga Beach Resort,si unapenda maeneo mazuri ya kulala?
 
Mtazamo wako kidogo una shida, Mbeya hotel imejengwa miaka ya 70 unategemea Leo hii iweje? Paradise miaka ya 90 unategemea Leo ifananeje? Ukienda Arusha ukafikia Arusha hakuna lodge za zamani? Mtazamo wako kidogo una shida rift valley! Mbeya peak.! Hizi hukujaribu? Japo pia ni za 90s. Mwisho nadhani kuna makosa kwenye maoni yako. Coz bado Luna mkulu hotel na nyingine nyingi tu.
 
Tuambie wew mtoa mada kwenu ni wap? jinga kabisa
 
Yaani wewe lengo la kuhama hama hotel zote hizo ni ili kutafuta tu sehemu ya kulala au ulikuwa na agenda gani nyingine?

Mimi nadhani wewe hata Mbeya hujawahi fika umeulizia tu majina ya hotel ndio unakuja kujidai mjanja hapa!

Umetongoza demu kutoka Mbeya umepewa za uso umeona uje kutukana tukana hapa, jipange dogo!
 
Wanaweza kuwa pia wanatofautiana ktk hisia na mitizamo mengine iliyoamua mbeya iwe jiji.
Kwahiyo unataka kuniambia Sehemu kupandishwa hadhi kuwa mji,manispaa,hadi jiji inategemea Hisia za watu na sio Vigezo vya kitaalamu kadri ya Tasnia ya Mipango miji siyo???.
 
Kwahiyo unataka kuniambia Sehemu kupandishwa hadhi kuwa mji,manispaa,hadi jiji inategemea Hisia za watu na sio Vigezo vya kitaalamu kadri ya Tasnia ya Mipango miji siyo???.
Ndio nimekuambi sio nataka kuambia.Kwanini shida nini km mawaziri wanachaguliwa kishikaji na kutoheshimu taaluma wala weledi.Kwanini mikakati ya kipuuzi isitumike hata ktk haya majiji?
 
Kwahiyo unataka kuniambia Sehemu kupandishwa hadhi kuwa mji,manispaa,hadi jiji inategemea Hisia za watu na sio Vigezo vya kitaalamu kadri ya Tasnia ya Mipango miji siyo???.
Sio nataka ,ila nimekuambia.Kwani haliwezekani?
 

Inategemea bajeti yako. Kama unataka chumba cha laki kushuka chini lazima utapelekewa huko
 
Kama weee siyo mchawi sasa unajuaje wenzako wachawi ??? Ila sikushangiii kwani utakuwa ulijichanganya watu wakakuombea basi ukawaita wachawi hooooooiiiiiii mbeya patam bana acha ujima wako haaaa
 
Narudia tena Mbeya ni KIJIJI na si JIJI asilani. Yaani inashindwa hata na kimji kama NJOMBE? Aibu Wanyakyusa na mbwembwe zenu mkifika DAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…