Miradi mingi ya NSSF ilikuwa white elephant,mingi ilikuwa ya kipiga deal na 10% ,bei kubwa ya mradi ambazo sio halisi,labda kipindi hiki wanaweza wakatekeleza.....Ni fedha nyingi lakini tunaweza kutekeleza tukiipa long term plan,Kama watu wanainstall vifaa hewa na wanalipwa bilioni karibia 83 hatuwezi kushindwa kuwalipa fidia wakazi wa tandale,manzese,bonde is mpunga,mkwajuni,kigogo etc.Yah... ni good project ingawaje ni very expensive. Hata hivyo, nadhani kwa NSSF ya Dau na JK wangefanya lakini hii NSSF ya sasa na JPM, I doubt if they will! Kwanza hata Mawaziri wataogopa ku-approve larger investment ideas!
Ufisadi ni asili ya viongozi Wa CCM, hapo panaandaliwa ulaji hakuna LA zaidiKuna mikoa kibao imechoka sana hii pesa wana taka kugawa tu majengo yatagarimu Pesa nyingi nusu ina ingia mifukoni mwao au wana andaa ufisadi wa namna nyingine!
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Ah! Amalinze, asikudanganye mtu wangu! Kwenye miradi mikubwa kama hii watu LAZIMA watapiga tu hata hiki kipindi cha JPM labda serikali yoooooote hadi na taasisi zake iongozwe na malaika!Miradi mingi ya NSSF ilikuwa white elephant,mingi ilikuwa ya kipiga deal na 10% ,bei kubwa ya mradi ambazo sio halisi,labda kipindi hiki wanaweza wakatekeleza.....Ni fedha nyingi lakini tunaweza kutekeleza tukiipa long term plan,Kama watu wanainstall vifaa hewa na wanalipwa bilioni karibia 83 hatuwezi kushindwa kuwalipa fidia wakazi wa tandale,manzese,bonde is mpunga,mkwajuni,kigogo etc.
Naona kama viongozi wetu wameishiwa uwezo wa kufikiri. Kuna haja gani ya kupoteza hela nyingi kuvunja na kujenga upya, kwanini wasitoke nje ya jiji la Dar, wanaweza kwenda Pwani, Tanga, mtwara ama Lindi wakajenga jiji lingine la kisasa na kuliacha jiji la Dar baadae litageuka kuwa jiji la kihistoria na kubaki na sura yake ya asili. Nimefika London, hakuna majengo marefu kama yalivyo Dubai lakini wana majengo mengi ya kale na ni masafi sana kwani yanatunzwa vizuri. Huko vijijini watu hawana maji wao wanalazimisha kutengeneza hapohapo Dar wanaposhinda hao wanaosema wacheza pooltable.
Kwa nini msijenge mji mpya nje ya Dar maeneo kama Bagamoyo au kuendeleza miji mingine na kuepuka hii gharama na usumbufu kwa serikali na wakazi wa Dar?
Mnakwenda nje kila siku lakini hamjifunzi kwa majiji kama Delhi?
Mimi napata shaka kama kweli viongozi wetu mmekosa weledi au ni makusudi tu mnacho mnachokitafuta Dar manake hii awamu ya 5 inatawala Dar tu!
Kila siku Dar hiki,Dar kile Dar Dar..Dar...mji una population growth ya kutisha among the top five in Africa badala ya kufikiri kuutanua bado mnang'ang'ana na Manzese wee..mnachokitafuta mtakipata.
Dar itageuka zigo la misumari kwenu very soon!
Tindo, tatizo ni hao aliokuwa akiongea nao. Wangepasa kumuuliza afafanue maana ya kulifumua jiji. Sasa hivi kila mtu anatafasiri anavyojua yeye!Naona kama viongozi wetu wameishiwa uwezo wa kufikiri. Kuna haja gani ya kupoteza hela nyingi kuvunja na kujenga upya, kwanini wasitoke nje ya jiji la Dar, wanaweza kwenda Pwani, Tanga, mtwara ama Lindi wakajenga jiji lingine la kisasa na kuliacha jiji la Dar baadae litageuka kuwa jiji la kihistoria na kubaki na sura yake ya asili. Nimefika London, hakuna majengo marefu kama yalivyo Dubai lakini wana majengo mengi ya kale na ni masafi sana kwani yanatunzwa vizuri. Huko vijijini watu hawana maji wao wanalazimisha kutengeneza hapohapo Dar wanaposhinda hao wanaosema wacheza pooltable.
kweli kabisa hata ukiona miji iliyopangika kama Tokyo au Washington haikuanza hivyo kuna kipindi yalifanyika maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kubomoa nyumba watu waliathirika na hata kufa lakini miji hiyo sasa ipo smart na kwa dar lazima maamuzi magumu lakini sahihi yachukuliweMaendeleo yana gharama zake