Jiji la Dar es Salaam ...Majengo safi....lakini.....!

Jiji la Dar es Salaam ...Majengo safi....lakini.....!

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
836
Reaction score
52
DSCN22840002.JPG

Mandhari ya jiji la Dar ukiwa unaingia bandarini kutokea Zanzibar. Kwa mbali mji unapendeza, lakini bado ipo haja ya kuweka mji katika mazingira ya usafi.
Hapo ndipo tulipokwama, usafi wa mji hakuna, hali ni mbaya sana ndani ya miji yetu.:angry:
 
Nani aweke mji safi, watu wakijenga koholela bila mpangilio Rais na PM wanasema wasibugudhiwe na waziri anayehusika anakemewa hadharani unategemea kuna usafi hapa!?.
 
Nani aweke mji safi? wakati miti na maua yakipandwa watu wanakanyaga? nani aweke mji safi wakati wabongo tukitafuna biskuti tunatupa taka ovyo? nani aweke mji safi wakati barabara zote zimegeuzwa soko k'koo? it begins with you.
Huu mji kuna mitaa ni total chaos: mitaa yote ya kariakoo ni chaos, epecially on sundays! utapaki wapi? utapita wapi wakati kila unapokanyaga pana ama mguu wa mtu ama kigenge cha mtu!!!
 
View attachment 26343

mandhari ya jiji la dar ukiwa unaingia bandarini kutokea zanzibar. Kwa mbali mji unapendeza, lakini bado ipo haja ya kuweka mji katika mazingira ya usafi.
Hapo ndipo tulipokwama, usafi wa mji hakuna, hali ni mbaya sana ndani ya miji yetu.:angry:


usafi ukianzia majumbani ndio mtafanikisha na jiji lenu.njooni mwanza mpate semina elekzi ya usafii
 
Back
Top Bottom