Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Mzee wa Rula hizo ni habari njema kwa mji wetu wa ARUSHA, lakini nani anasimamia hizo kandarasi??????????? Kama ni waziri Maghufuri naweza kidogo kuwa na matumaini!!!!!!!!!!!Uko sawa barabara hiyo itapita Ngaramtoni ya juu mpaka Njiro lakini hata hizi za ndani nazo zimo katika programe hiyo ya kuwekwa lami. Hivi CrashWise Arusha hakuna barabara za maana kabisa na hiyo ni programe ambayo ni lazima itekelezwe ili Arusha liwe jiji, moja ya sababu ya kuvuliwa ni hiyo ya barabara.