Jihadharini wanawake Dar es salaam - serial killer on the loose!


watu weusi huwa wanajisifia kuwa wakifanya uhalifu ni sababu wana shida
but wazungu they are crazy.......
 
And worse still in one of the descriptions is he is wearing a cap (and this now is out in the public..) do you think next time he will wear a cap?...
and just because the previous 7 women killed were all white does it mean black/brown skinned women are safe...? This is too vague and we can't pinpoint anything for sure.., all we know is that there are a killer or killers on the loose anything thing else will be a guess work
 
watu weusi huwa wanajisifia kuwa wakifanya uhalifu ni sababu wana shida
but wazungu they are crazy.......

Wazungu utasikia mtu kazi zake kuiba chupi za akina dada tu, tena nyeusi au nyeupe hachukui!
 

You hit the nail right on the head. These people need some seasoned detectives to help them crack the case. So far everything has been handled so amateurishly.
 
Na namna inavyoendelea labda akamatwe/wakamatwe na wahudumu wa guest houses sio kwa polisi wetu
 
Au kwasababu wanaitwa serial killer ( kwa kizungu) haaahaa! Jamani eh? Hata wewe unaweza kuwa muuaji wa siri/kimyakimya..Lugha isitupindishe katika maana halisi ya jambo/neno/tendo au kitu.
 
Au kwasababu wanaitwa serial killer ( kwa kizungu) haaahaa! Jamani eh? Hata wewe unaweza kuwa muuaji wa siri/kimyakimya..Lugha isitupindishe katika maana halisi ya jambo/neno/tendo au kitu.

Tafiti ujue maana. Serial Killer ni muuaji anaeendela kuua kwa vipindi virefu na kwa mtindo wa aina fulani.
SERIAL KILLER SIYO MUUAJI WA SIRI WEWE MSWAHILI
 
Au wazee nyumbani ni viwembe? msije mkawa mnawatia hofu wanawake viguu njia ...


Inawezekana ehh?..
Hii ishu inatisha jamani.hUYO MTU NI KIJANA AU MTU WA UMRI GANI?
Wasichana/wanawake mkitokewa, inabidi muulize referee kwanza msiishie kwenye kifo kisa kupendwa!
 
Chonde chonde wenye kupenda offers za kiulaini. Wadada jamani tulieni na waume/bf zenu. Acheni tamaa. Mungu waepushie mbali dada zetu na hili janga
 
Tafiti ujue maana. Serial Killer ni muuaji anaeendela kuua kwa vipindi virefu na kwa mtindo wa aina fulani.SERIAL KILLER SIYO MUUAJI WA SIRI WEWE MSWAHILI
mtindo upi? Usitafsiri kwa lugha hutapata maana, nawe ushajichanganya na kiswahili nlichotumia...Serial inabaki kuwa anonymit killing, hyo aina au mfumo fulani ya uuaji ni part n' parcel za hyo killer..
 

Mimi nafikiri angetokea na mwanamke ambaye anafanya kama huyu mwanaume yaani kutongozwa na waume za watu na kwenda nao gesti na kisha kukutwa wamekufa ingekuwa vizuri kabisa kukomesha uzinzi kwa wanandoa. Mimi naona huyu jamaa ni mtambo wa kurekebisha tabia tosha. Uzinzi ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti. Kwa kifupi hii ni kazi ya shetani, hivyo wasiomtambua Mungu na kutekeleza maagizo yake kwa vitendo ndio wataangamia!!!
 
Post mortem bado haijatoka kuhitimisha sababu ya kifo ila imethibitika mwanamke alikuwa amefanywa kitendo cha ngono kinyume na maumbile! na pia kawaida.
Muuaji huyu hakuvunja shingo kama muuaji wa wanawake waliouawa kabla ya tukio hili.Wito unatolewa kwa wanawake wote kukwepa kurubuniwa na kupelekwa guest house na watu usiowafahamu.

Pia wateja wanatakiwa sasa kuacha vitambulisho mapokezi hahahahha
 
from my point of view there should be a kind of laws in hotels, motels, guest houses etc.
kama vile CCTv camera hapo mapokezi maana itasaidia kuwapata wahalifu hao.
 
Vitambulisho gani viachwe mapokezi wakati nchi haina vitambulisho?

Mtu akisema hana kitambulisho asipewe huduma wakati sheria haimlazimu kuwa nacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…