Milanzi2018
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 388
- 382
ya AMBER LUTY iliwekwa ikiwa ni ushahidi hapa jamiiforumsSasa niweke picha ya Msichana wa kitanzania anapigiliwa muhogo na mbulushi?!
ya AMBER LUTY iliwekwa ikiwa ni ushahidi hapa jamiiforumsSasa niweke picha ya Msichana wa kitanzania anapigiliwa muhogo na mbulushi?!
wagonjwa wengi toka Tanzania kwenda India ndio njia yao hakuna Ubaguzi
kila siku jamaa zangu ni kutukana Waaarabu sasa Ajabu kila siku Omanair inajaa wafanyakaziHuko wanakoua wadada wa ndani kwa kuwatupa madirishani mnaenda kufanya nn?
Mimi abadani Sipandi Omanair yaa nini bana kushindishwa na kahawa chungu na Kaswida mpaka Bangkok
Acha ubishi kama hujaexperience hiyo hali ndugu. Binafsi nilishanusurika kuzuiwa kuingia ndani ya KLM, na nilikuwa natoka Schiphol kwenda Nairobi. Na kuna jamaa yangu alishazuiliwa kuingia ndani ya British airways hapo JKNA. Na wanaozuia ni air hostesses ukiwa na boarding pass mkononi. Kwa hawa Waarabu walishawaelekeza familia nzima ndani ya ndege ya kurudi Dar badala ya kuwaruhusu kuendelea kwenda Heathrow airport. Na Kwa kuwa wale watu hawakuwa na experience ya kusafiri wakajua wanaelekea UK. Wanakuja kushuka wapo kipawa..usiwe unaleta hoja za vijeweni .hakuna mfanyakazi yoyote wa Airline anaweza kukuzuia kundelea na Safari
baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
ina maana na wewe ulikuwepo hapo Airport Mucat?
Ikiharibika Bombardier inakuja na Viongozi wetu wa dini wanafanya maombi halafu tunaenfelea na safari.Kwea Dreamliner Mjomba Mwanzo hadi Mwisho wa Safari ni Safari Lager
Acha ubishi kama hujaexperience hiyo hali ndugu. Binafsi nilishanusurika kuzuiwa kuingia ndani ya KLM, na nilikuwa natoka Schiphol kwenda Nairobi. Na kuna jamaa yangu alishazuiliwa kuingia ndani ya British airways hapo JKNA. Na wanaozuia ni air hostesses ukiwa na boarding pass mkononi. Kwa hawa Waarabu walishawaelekeza familia nzima ndani ya ndege ya kurudi Dar badala ya kuwaruhusu kuendelea kwenda Heathrow airport. Na Kwa kuwa wale watu hawakuwa na experience ya kusafiri wakajua wanaelekea UK. Wanakuja kushuka wapo kipawa..
WavejaIkiharibika Bombardier inakuja na Viongozi wetu wa dini wanafanya maombi halafu tunaenfelea na safari.
Soma post yako number 10. Nadhani utaelewa nilichoeleza. Mhudumu wa ndege ana uwezo wa kukuzuia usisafiri..hapa mada ni Omanair mambo ya KLM ni yako
Kwa hiyo hiyo ndege nzima alipanda mtu mweusi ni yeye tu mmoja?Au kila siku wanapanda watu weupe tu kwenye ndege hizi?Sema ukweli huyo ndugu yako,amezuiwa kwa tatizo lipi,labda ameiba,au amebeba kitu cha hatari,silaha au vitu visivyoruhusiwa ndani ya ndege au mgonjwa wa maradhi ya kuambukiza nk.Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Ndege nzima ilikuwa na abiria wenye jambiya yeye tu ndio alikuwa na laptop na Alikuwa hajavaa kilemba.Kwa hiyo hiyo ndege nzima alipanda mtu mweusi ni yeye tu mmoja?Au kila siku wanapanda watu weupe tu kwenye ndege hizi?Sema ukweli huyo ndugu yako,amezuiwa kwa tatizo lipi,labda ameiba,au amebeba kitu cha hatari,silaha au vitu visivyoruhusiwa ndani ya ndege au mgonjwa wa maradhi ya kuambukiza nk.
Unasema umefanya uchunguzi ukagundua waliomzuia kupanda ndege kwenda London siyo maofisa wa uhamiaji bali wafanyakazi wa Oman Air. Jee hukuendelea kudadisi kisa cha kumkatalia huko wakati Dar walimruhusu? Lazima kuna sababu. Tusikimbilie kusema ubaguzi wa rangi bila kuwa na uhakika ni hivyo kweli.Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Kwa sababu haijatokea kwako hawa jamaaa ni wabaguzi sana,mtu mweusi akipita airport yao hata kama una passport ya USA wanakusumbua
Usiwe mbishi watu wengi wamezuiwa kuingia kwenye Ndege ya Oman air kwenda others destination na ushahidi upo,UONGO. Nimetumia sana Oman Air kwenda UK na France, hakuna kitu kama hicho wala suala la ubaguzi halipo. Uwe na document halali za safari tu hakuna wa kuzuia. Ukaguzi ni kitu cha kawaida.