Jihadharini na Oman Air

Jihadharini na Oman Air

Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Al qaeda mtawajua tu. Mtu gani anasafiri na Oman Air? Lazima mzuiwe
 
mm sipandagi mashirika ya ajabu ajabu
mashirika yangu ya uhakika ni Etihad via abu Dhabi,klm via Amsterdam na Turkish airlines kwa safari za kidunia
 
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Lazima ipo sababu tu
 
Na Kwa taarifa tulinazo watz wengi wakipita hapo mascut kwenda nchi za ulaya na marekani wanasumbuliwa Sana bila sababu za msingi
 
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha

Hii habari inatutia wasiwasi ukweli wake kwani sio kitu cha kawaida. Kwa kuwa naelewa mambo ya ndege kwa kiasi;
Naomba kujua yafuatayo;

1. Alibook ticket moja (through Ticket) kuanzia Dar hadi London?
2. Na kama alibook ticket mbili tofauti, Moja kwenda Dubai na nyingine kuunganisha kwenda London sababu ilikuwa ni nini?
3. Je Alibook shirika moja la Ndege, nina maana ndege za Oman Air kuanzia Dar hadi Lodon?
4. Alikuwa na ticket inayo muonesha anasafiri kwa ndege ya Oman Air kutoka Dar hadi London
5. Wakati wa kubook Aliangalia muda wa kusubiri kabla ya kuunganisha; yaani muda gani atasubiri Dubai hadi kuunganisha ndege ya kwenda London?
6. Mwisho natamani nioni hiyo ticket yake (Dar to London)

Ndege za Kimataifa (Across the border) huwa zinatumia sheria/taratibu zilizoratibiwa za kimataifa hivyo kimsingi sio rahisi shirika kujiamulia mambo yake yenyewe

Nikipata hayo majibu kwa usahihi nitaweza kujua tatizo lilikuwa nini
Ila huu ndio wakati wa ndege yetu pendwa - Tanzania Dream Liner kutake over!
 
Hii habari inatitia wasiwasi ukweli wake kwani sio kitu cha kawaida. Kwa kuwa naelewa mambo ya ndege kwa kiasi;
Naomba kujua yafuatayo;

1. Alibook ticket moja (through Ticket) kuanzia Dar hadi London?
2. Na kama alibook ticket mbili tofauti, Moja kwenda Dubai na nyingine kuunganisha kwenda London sababu ilikuwa ni nini?
3. Je Alibook shirika moja la Ndege, nina maana ndege za Oman Air kuanzia Dar hadi Lodon?
4. Alikuwa na ticket inayo muonesha anasafiri kwa ndege ya Oman Air kutoka Dar hadi Oman
5. Wakati wa kubook Aliangalia muda wa kusubiri kabla ya kuunganisha; yaani muda gani atasubiri Dubai hadi kuunganisha ndege ya kwenda London? Isije kuwa alibook ndege ya bei poa ya kuunganisha siku inayo fuata???
6. Mwisho natamani nioni hiyo ticket yake (Dar to London)

Nikipata hayo majibu kwa usahihi nitaweza kujua tatizo lilikuwa nini
Ila huu ndio wakati wa ndege yetu pendwa - Tanzania Dream Liner kutake over!
hii issue sio ya kutunga Kwa nia ya kuwachafua Oman air,alinunua hapa Dar to Muscat then Muscat to London,na Kwa taarifa tulinazo kesho yake kuna watz wengine wawili pia wazuiwa kupanda hiyo Ndege kuelekwa nchi za ulaya siongei kitu cha kubahatisha ninao ushahidi kwani siku hiyo nilikuwepo wakati huyo mtanzania anazuiwa akawaomba wampe sababu Kwa maandishi wakagoma,
 
Umebugia kilo ya unga halafu una Diplomatic Passport unategemea nini..just kidding waachieni mashekhe wao mnaowatesa kila siku huko Gerezani.
Unawaachiaje mashekhe wanaoeneza chuki na ugaidi?

Ndio maana kenya mashehe kama hawa wa uamsho waliwaua, hawa ndio wanafanya vikao na alshabab, sheikh rogo kenya walimpoteza, hakuna serikal inayoruhusu uharamia kama huo, shukurun kwa tz hata mahabusu wanakaa, nchi nyingine wanaachiwa huru then wanapotezwa uraian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawaachiaje mashekhe wanaoeneza chuki na ugaidi?
Wale wachungaji waliokuwa wanaeneza chuki dhidi ya Kikwete je?!
Acheni uonezi kwanza kisiwa hicho ni cha kwao nyinyi wengine mlipelekwa kitumwa kutoka Congo na malawii
 
hii mbona haiko sawa.. kuzuia abiria mara zote labda kuna sababu za kiusalama. unazuiwa tu bila sababu hii siyo kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii issue sio ya kutunga Kwa nia ya kuwachafua Oman air,alinunua hapa Dar to Muscat then Muscat to London,na Kwa taarifa tulinazo kesho yake kuna watz wengine wawili pia wazuiwa kupanda hiyo Ndege kuelekwa nchi za ulaya siongei kitu cha kubahatisha ninao ushahidi kwani siku hiyo nilikuwepo wakati huyo mtanzania anazuiwa akawaomba wampe sababu Kwa maandishi wakagoma,
Bado hizo sababu zako hazijitoshelezi; Nakuomba ujibu kila swali nililo uliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom