Jihadharini na Oman Air

Jihadharini na Oman Air

Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Labda baadhi ya wafanyakazi ni wabaguzi maana Kwenye wema na waovu wapo vilevile hata kwa mazingira ya hapa Tanzania kuna ofisi ukienda mfanyakazi mungine ana kiburi mungine yupo freshi
 
Kwa sababu haijatokea kwako hawa jamaaa ni wabaguzi sana,mtu mweusi akipita airport yao hata kama una passport ya USA wanakusumbua
Sio kweli passport yangu ni ya 11 duniani kwa nguvu (most powerful)
Na nimepita mara saba na kutoka nje x2(mjini) sijawahi kupata tatizo lolote
Kwanza waswahili wamejaa immigration hapo

Sent from my SM using Tapatalk
 
Barua za mialiko hayo wanatakaga Tanzania tu sijawai kusikia eti ukitaka kusafiri chi yoyote duniani uwe na barua ya kualikwa na mwenyeji wako, hapo unaonyesha tu ni kitu cha uongo, inahusu nini wakati una viza.
 
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Unatumiwa vbaya wewe kwanini unajichafulia utambulisho wako!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya naona wapanda ndege mnalumbana wenyewe kwa wenyewe, wale wenzangu wa border kwa border mpaka NYC hawatii neno hapa... Wale tunaopitia chocho kwa chocho Safari ikianzia South Sudan tutaanzisha uzi wetu na shida tunazopitia.
 
Sidhani kama kuna ukweli hapo yaani from no where wakuzuie tu,labda kuna mambo ujayaweka wazi.
 
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha

Acha uzushi. Km unataka kuzua angalau ungeshawishi kwa kuweka ushahidi. Huko Oman kuna waafrika wengi, hususan wa kutoka Unguja na Pemba wanaishi na kufanya kazi kwa raha mustarehe kwa miaka mingi.
 
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
baada ya kumzuia ikawaje ?
 
Hapa nachokiona unachokilenga zaidi ni "UBAGUZI" na sio kuzuiliwa,
bora ubaguliwe na mzungu kuliko mwarabu, hatari kabisa
 
Kitu Bwana FlyEmirates chakula kizuri wahudumu wapoole vinywaji kemkem..sio kunyweshwa kahawa tungu kwenye Omani Air unafika utasema umeenda na Roli.

sasa flyemirates ni wakina nani ya wazungu au watu weusi si haohao waarabu msiowapenda oman air fly emirates na emirates air line ni waarabu sasa unakataa nini na unaeleza nini mwarabu hamtawaweza kabisa kwa kila kitu wazungu wenyewe wameshindwa kwa warabu imebidi wawachonganishe wauane

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Utapandaje Oman Air kwa mfano?
Ni kama upande Air Congo au air Zaire au Air Iran au Air Afgaanistan.

Lolote linaweza kukutokea.

Muwe mnapanda brand.
 
Mkuu Air Somaliland ndio ina Baraka Alshababu waliitegea Bomu lakini kilichotokea huwezi kuamini.

Yule Alshababu alikuwa ameweka Bomu kwenye Laptop alipolilipua Bomu lake akanyonywa nje ya Ndege hahahaa

Picha hii inaonyesha sehemu aliyokuwa amekaa Alshababu huyo alikaa karibu na Tank la mafuta ili akilipuka mafuta na Emgine ziwake mara moja.
Lakini aliaashia kufa peke yake hahahaha!!
2951144797324f4eaf126c032d3fc220_18.jpg

Baada ya siku moja wanavijiji wakaokota Mzoga ambao nusu ulikuwa umeliwa na Mbweha watakatifu.
 
Tangiapo hawa wenzetu wawe whites, browns or whatever wanamnyanyapaa sana mtu mweusi. Sisi tulitakiwa tujipende sisi kwa sisi, lakini ni kinyume chake . Sisi hatujipendi sisi kwa sisi badala yake tunawahusudu hao watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka uko sawa , hawa wenzetu wanatubagua sana lkn wakija huku kwetu sisi tunawakweza na kuwatukuza, nampenda Raisi wetu wa sasa anavyowapa "right Treatment"! ni wakati wetu kujiinua sisi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
Umetumwa na walioichimbia kaburi Fastjet?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oman baada ya Miaka Ishirini inakuwa nchi ya Kibaluchistan.
 
Kaka uko sawa , hawa wenzetu wanatubagua sana lkn wakija huku kwetu sisi tunawakweza na kuwatukuza, nampenda Raisi wetu wa sasa anavyowapa "right Treatment"! ni wakati wetu kujiinua sisi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote! Mimi msichana alionitoa bikra yangu alikuwa Muomani...Chugha sana mdomo wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom