Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
sio kweli mimi napita sana Seeb Airport hakuna ubaguzi
Hii ngozi nyeusi robo tatu yake huenda ilishalaaniwa na Mungu, haiwezekani evry day wawachukie waarabu tu 😀😀😀
Mleta mada ni mbaguzi sana, na inavyoonekana anawachukia waarabu na uislamu kwa ujumla,, especially waOMAN, nchi ambayo Mtume wetu Muhammad (S.A.W) aliiombea nchi ile na mpaka leo hii nchi ya Oman ni nchi ya amani, watu wake ni karimu sana sana kuliko cc weusi.
OMANI
AMANI
IMANI
