Kasomeko
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 549
- 977
Uchunguzi hadi uwepo eneo la tukio?usiwe unaleta hoja za vijeweni .hakuna mfanyakazi yoyote wa Airline anaweza kukuzuia kundelea na Safari
baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
ina maana na wewe ulikuwepo hapo Airport Mucat?
Sent using Jamii Forums mobile app