Jihadhari utaishia Shimo la Tewa

Mimi hata sijakumisi

najiuliza sana kinachotufanya tusielewane ni hyu Asprin au nini

sio vizuri mm nimekubali kuwa mdogo kwa maana nahis mtanipoteza kama ndege ya malaysia
 
Last edited by a moderator:

Mwaka Jana alikuja binti anatafuta mchumba humuhumu nikampm akagomesha eti anatafuta mfanyakazi serikarini wakati Mimi nafanya biashara nikafungua account mpya nikamrukia na akakubari nikachapa Kitu na kumpotezea hadi Leo ukiwa na account zaid ya moja raha yake ni Kubwa
 
sasa unafungua ID nyingi namna hiyo ili iweje???? au ukifungua nyingi kuna hela unapata?? hapo sawa
 
kumbe kuna machangu humu wa bei rahisi!
 
ID zaidi ya moja ni kupoteza muda, inaingia akilini kwa yule ambae atakuwa nazo mbili kwasababu maalum. Mfano moja sababu anatumia utambulisho wa kweli na ya pili bandia hapo sioni tatizo
 
Hii ishu ya multiple IDs inawahusu watu wenye nia mbaya, kama umalaya,wizi/utapeli na tabia nyingine zinazoendana na hizo. Na hii inawasu wanawake kwa wanaume.

Nimegundua kuna watu wanafanya umalaya saana humu ndani na hiki ndo kijiwe chao leo anaingia na id anatafuta mchumba, kesho anakuja na Id kagombana na jamaa/demu wake,na stori ambazo zina create attention flan kwa wanajamvi lengo lake ikiwa ni kula kutafuta Me/ke.

Ndio maana unaweza kuta labda mimi nishawasiliana let say na Miss Chagga kwa Id hii na tunafahamiana fc2fc, siwezi kuja na gia na ID hiyohiyo kumpata Lar 1. Ndo kuongezeka kwa Ids

USHAURI; Divices(Simu,laptop,desctop,n.k) tunazozitumia ni zile zile kila siku. JF admin watrace watu ambao divece moja inatumika kwa zaidi ya ID moja. Hili naamini linawezekana kabisa. Na watakao bainika wapigwe life burn
 
Duuhhh.......mnaotafuta wachumba humu mnaloo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…