watamerge vipi ?
wakati email unafungua kama unavyokula
kiufupi mimi nina email zaidi ya moja
ila nina id moja nikiamua email zote nafungulia id
hapo utamerge vipi ?
Sioni sababu nyingine zaidi ya kificha uovu na madhambi tu. Lazima multiple IDs zinahusiana na ubazazi. Nikimtongoza Khantwe (samahani kwa kukutaja) kwa kitumia Eli79, siwrzi kumtongoza ICHANA (samahani tena) kwa ID hiyo coz huenda wanajuana na kuambiana mambo...so lazima mmoja nitatumia ID nyingine. Hata #LoveConnect mara chache utaona hizi common IDs, nyingi huwa ni mpya...something fishy is going on aisee
watamerge vipi ?
wakati email unafungua kama unavyokula
kiufupi mimi nina email zaidi ya moja
ila nina id moja nikiamua email zote nafungulia id
hapo utamerge vipi ?
Mkuu najua utanibishia ila hiko ni kitu kidogo sana kwa Mods sema hawajamua!
Najua ni jinsi gani hii issue ya merging huwa inafanyika. Mambo mengine huwa ni siri ya uongozi!
Mkuu najua utanibishia ila hiko ni kitu kidogo sana kwa Mods sema hawajamua!
Najua ni jinsi gani hii issue ya merging huwa inafanyika. Mambo mengine huwa ni siri ya uongozi!
sio rahisi kumerge id's yenye different emails
hivi unawezaje kutumia id zaid ya moja??
Usishangae akawa anamiliki laini za simu zaidi ya kumi
hivi unakuwa na IDS zaidi ya moja how did you handle that ..... ni ujinga
Hivi unawezaje kutumia ID zaid ya moja??
muulize le mutuz
W. J. Malecela
hapo chacha ! Mi mwenyewe nashangaa sana
Hivi unawezaje kutumia ID zaid ya moja??