walio wengi wanasema wametiwa majaribuni, aidha mtu anakuita umkate kucha baada ya muda anakwenda chumbani anarudi na khanga moko, au wengine wakati wa miguu anapandiiiiiiiiisha hadi karibia na ikulu uhamanike, au mwingine anakuita ndani etc .concl walio wengi vichocheo ni wanawake
fanya wewe bas kama unaona sisi wakata kucha tunafaidi,,kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake meeeen:frusty:
nilijua Baba V lazima uchangie hapa
ukiwa tayari uniambie nikuelekeze maenep yenye fursa lukuki
fanya wewe bas kama unaona sisi wakata kucha tunafaidi,,kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake meeeen:frusty:
ndo mzini nao???
halafu wengi ni wasambaa........japo sio mada yangu
Ha ha haa! Kwanini hawataki ? Dah hii thread leo inanimaliza mbavu zanguendeleeeni mwaya. tukiwaambia wapenzi wetu wajifunze kupaka rangi wawe wanatuhudumia wenyewe hawataki.
Ha ha haa! Kwanini hawataki ? Dah hii thread leo inanimaliza mbavu zangu
Amekuja kushuhudia jinsi unavyoizaririsha fani yao...we Amavubi unataka wenzio wakale wapi?wewe mkata kucha gani uko JF saa hizi? udadisi wangu hautakugusa wewe
Jamani hata jumapili anashindwa kukufanyia japo foot massage? Au ndiyo anataka akina Amavubi waendelee kukushikashika kila weekend?basi tu ubishoo na kujiona wanaweza kucheza na makaratasi na sio msasa. lol