JIHADHARI na utapeli kwa mnaotafuta kazi

JIHADHARI na utapeli kwa mnaotafuta kazi

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,439
Reaction score
166,892
Matapeli wako wengi, lakini huyu ni miongoni mwao.

548338_460438057388297_729468954_n.jpg
 
yaani hawa jamaa wamezidi kwa utapeli,jana huyu mtu alinitumia hiyo sms..
jamani haya ni majanga,tuwe makini sana na hawa watu
 
jamani tena kuna mwigine anakuomba kabisa na utupu umpe na nusu ya mshahara wako.
 
Sema iko wazi kbs inaonesha hii mbinu wala haiko strong kumrubuni mtu,iko wazi ni ya kitapeli,kikubwa ni hao wanaomba kazi ni kuacha kukurupuka na kujikuta wameliwa hela!nashukuru lkn umeitoa hii njia hvyo wengne watakuwa makink na njia za namna hii za utapeli
 
Hao wako wengi wanatoa matangazo feki ya kazi then wanaanza kusumbua watu.TCRA shughulikieni hawa matapeli mara moja
 
Anaitwa Abdubakari Kizango

Laini yake ya tigo 0659777076 iko hewani kasajili kwa hilo jina la Aboubakary Kizango. anadai anatoka kampuni ya Milton Ltd, DSM. huyu mtu achunguzwe hatujui kawatapeli wangapi.
 
Abduli nomaa. Anakuweka sawa kisha anakwambia ye anaingia kikaoni ili usimtafute kwa simu. Dadeq. Amekamua kinoma kama Mrisho Ngassa. Simba anakula cha juu, Yanga anakula chote kizima. Tehe tehe tehe tehe...........
 
Laini yake ya tigo 0659777076 iko hewani kasajili kwa hilo jina la Aboubakary Kizango. anadai anatoka kampuni ya Milton Ltd, DSM. huyu mtu achunguzwe hatujui kawatapeli wangapi.

Hata mm nilitumiwa upuuzi huo. Hata PCCB wamekaa tu maofisini bila kazi, wanbweka kama mbwa koko wanaacha mambo haya yanashika kasi.
 
Huyu tap3li mjinga. Yeye ana elf 65 akuongezee we umekuwa nani kwke? Hawa wapigee
 
Kweli mkuu,kuna hyu mwengne ni muuza mashine za TRA hapo upanga Tapeli acha,halipi wafanyakazi mishahara,nilikuwa victim.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ht mm alinitumia hyo meseji. Hawa matapeli washughulikiwe ipasavyo!
 
Back
Top Bottom