JIHADHARI na utapeli kwa mnaotafuta kazi

WanaJF,

Nimetumiwa ujumbe na mtu ambaye amekuwa akilalamikiwa mara kwa mara kwa utapeli wa kutoa matangazo ya ajira kupitia zoomtanzania.com na kuwaibia watu,lakini mpaka sasa vyombo husikani havijamkamata!

Name:
Number: +255659777076
Content:
Hello, am Abdul from Raven Ltd dsm, juzi nilikutumia meseji abt cv yako for MARKETING POST, nataka kukusaidia upate hii kazi, salary is 1.2 Million. leo tunafanya final meeting, nimeongea na mtu wa interview anataka laki 1, me nina elfu 85 tu, tuma elfu 15 itimie nimkabidhi anipe maswali ya interview nikupe.(utanirudishia hela yangu badae) tuma by tigo pesa to 0659777076, jitahidi utume kabla ya saa 10 jioni, me naingia kikaoni ntakupigia badae.
Time: 24/08/2013 10:09:44
 
Attachments

  • hii.jpg
    hii.jpg
    45.8 KB · Views: 348
Hao wezi tu ndug,labda tuiombe na serikali itusaidie kuwakamata jaman,hali ni mbaya sana,wengne wanatuma message wanadai wapo nje ya nchi,mwishowe wanadai wanaitaj akaunt number watoe aids,hao wote ni matapel tujiadhar
 
TCRA imelala doro, mpaka ikija kuamka watu watakuwa wamesha umizwa sana

Kinachotukosti sie watanzania ni kusubiri serikali au taasisi za kiserikali zifanye kazi chamsingi huyu mtu kama kakutumia message we mwambie muonane live umpe pesa maana hauna tigo pesa wala mpesa unaenda na kikundi cha watu( wahuni) mnaenda na video kamera mnapiga mtu huyo kama mwizi mnatuma video ITV inarushwa kama habari hawawezi kukataa..sio kulalama ooh TCRA sijui nini na nini..over..!!
 
Lyamber naomba unipeleke kwa wahuni, kuna mtu ananizingua nataka wamuwajibishe
 
Last edited by a moderator:
Kinachotukosti sie watanzania ni kusubiri serikali au taasisi za kiserikali zifanye kazi chamsingi huyu mtu kama kakutumia message we mwambie muonane live umpe pesa maana hauna tigo pesa wala mpesa unaenda na kikundi cha watu( wahuni) mnaenda na video kamera mnapiga mtu huyo kama mwizi mnatuma video ITV inarushwa kama habari hawawezi kukataa..sio kulalama ooh TCRA sijui nini na nini..over..!!

wakuu huyu mtu wala si wakutumia nguvu anaitwa ABUBAKAR O KIZANGO ni mwanfunzi pale open university (out) university ndo anaingia mwaka wa pili anasoma bachelor of Arts in social work mwaka wa pili registration number ni UG201262221
 
wakuu huyu mtu wala si wakutumia nguvu anaitwa ABUBAKAR O KIZANGO ni mwanfunzi pale open university (out) university ndo anaingia mwaka wa pili anasoma bachelor of Arts in social work mwaka wa pili registration number ni UG201262221
 
Hao wezi tu ndug,labda tuiombe na serikali itusaidie kuwakamata jaman,hali ni mbaya sana,wengne wanatuma message wanadai wapo nje ya nchi,mwishowe wanadai wanaitaj akaunt number watoe aids,hao wote ni matapel tujiadhar

wakuu huyu mtu wala si wakutumia nguvu anaitwa ABUBAKAR O KIZANGO ni mwanfunzi pale open university (out) university ndo anaingia mwaka wa pili anasoma bachelor of Arts in social work mwaka wa pili registration number ni UG201262221
 
Kinachotukosti sie watanzania ni kusubiri serikali au taasisi za kiserikali zifanye kazi chamsingi huyu mtu kama kakutumia message we mwambie muonane live umpe pesa maana hauna tigo pesa wala mpesa unaenda na kikundi cha watu( wahuni) mnaenda na video kamera mnapiga mtu huyo kama mwizi mnatuma video ITV inarushwa kama habari hawawezi kukataa..sio kulalama ooh TCRA sijui nini na nini..over..!!
wakuu huyu mtu wala si wakutumia nguvu anaitwa ABUBAKAR O KIZANGO ni mwanfunzi pale open university (out) university ndo anaingia mwaka wa pili anasoma bachelor of Arts in social work mwaka wa pili registration number ni UG201262221
 
mi mwenyewe nimetumiwa sms na huyo mtu nimeona ka upuuz vile mi natafuta ajira af nitoe hela wap na wap huyo ni mwiz tu
 
Back
Top Bottom