specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,141
- 617
Mteremko kutakaHivi unawezaje kutuma pesa kwa mtu nyingi hivi
Ndugu amini ninachokuambia. Sifanyi biashara kama yake au nina chuki naye. Ninakuambia ukweli ambao umetokea. Hata wewe jaribu kupiga simu uone reaction yake,anaweza asipokee simu hata siku nzima akidhani ni mtu aliyekutapeli umebadilisha namba. Hapokei simu kwa wakati na vitu kama hivyo. Pia naomba nikuwekee screenshot ya chart yake na mtu aliyemtapeliKamtapeli nani? ,katapeli nini?, katapeli vipi?
Isije ukawa una tatizo lako binafsi na yeye unamchafua hapa jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka leo hajarudisha pesa na amemmblock huyo mteja wake kwenye ukurasa wake wa instagram, huyu ni mwizi mkubwa naomba vyombo vya dola viwasaidie watu ili asiendelee kutapeli watu wengine. Najua kuna watu watasema katoe taarifa polisi hapa sio polisi ila naomba waelewe kuwa taarifa za mitandaoni zinatakiwa kuwa alarm kwa jeshi la polisi na sio kila mtu akienda kutoa taarifa polisi kituoni basi hufanyiwa kazi kwa uharaka zaidi ya kuletewa usumbufu tu na baadhi ya polisi wasiojua wajibu wao. Kama nikihitajika kutoa ushahidi, nipo tayari.Kamtapeli nani? ,katapeli nini?, katapeli vipi?
Isije ukawa una tatizo lako binafsi na yeye unamchafua hapa jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshaweka tayariToa ushaihidi kuonyesha utapeli wake..
Hata Mimi sishindwi kutunga tuhuma na kumchafua ye yote nkiamua
Weka evidence.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swala linashangaza sana, kuna watu wapo maofisini hawawajibiki hata kidogo mpaka wasukumwe na vigogo ila wananchi wakawaida ni mara chache kushughulikia kero zetu. Mpaka mkubwa aseme. Hii inaumiza sana na mtu kama huyu anatapeli watu weeengi kila siku. Lakini yupo tu anadunda na atakumia laini za simu. Niliomba mshikaji mmoja aniangalizie taarifa zake alizotumia kusajilia laini hiyo ya tigo inayopokea pesa huwezi amini alichoniambia, aliniambia huyo jamaa hana taarifa wala document yoyote. Sasa inawezekanaje mtu atumie laini bila kuwa na documents kama kitambulisho chake, picha au leseni alizotumia kusajilia. TCRA wawajibike sio kukaa maofisini kusubiria amri za vigogo tu. Watu kama TCRA wanaifanya serikali ionekane haifanyi kazi. Hata hapa watasoma na watapita kimya tu. Inakera sana hiiDu hawa watu wanafanikiwaje kukamilisha uhalifu huu bila kukamatwa.ina maana hata mamraka zetu zina lala sana.yaani kama TRA na zingiezo.nilidhani matangazo kama haya ni kuyafuatilia kabla hayajafikia mbali.yaani ilitakiwa tahadhali kama hizi tuwe tunapewa na polisi au vyombo vya serikali.
matukio ya kihalifu ya kimttandao bado naona yameizidi nguvu serikali
Yaani kwa karne hii wuzi uliopo sio ule wa kupora physical cash bali ni kuiba hela kidigitali