Jihadhari na pombe

Jihadhari na pombe

Wanasema inaondoa mawazo !

Kingine haya maisha mafupi sana, ukiwa na pesa tumia yaaan enjoy uwezavyo.....
Unaweza ukawa unakunywa tu chai alafu unafia ndani kama mbwa, alafu yule anayekunywa pombe anadunda miaka na miaka ........

Kikubwa upe mwili kitu inapenda...mengine sio ushauri
 
"Miaka 30 ya TRA, Kulipa Kodi ni Uzalendo na Ushujaa kwa Maendeleo na Kujitegemea kwa Taifa Letu"...Kunyweni mlipe Kodi, muongeze mapato hospitalini, muongeze posho za dada zetu baa, muongeze kipato Kwa majasiria mwili....Pombe ni uchumi wa nchi.
 
Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.

Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.

Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo ninapenda kuwekeza nguvu kukumbusha kuwa Pombe inaathiri sana AFYA, mahusiano na maisha kwa ujumla.

Tafakari chukua hatua!!!!!!
#partmalila #saikolojia
Asante kwa Tahadhari dhidi ya matumizi ya pombe.. Je, wewe unatumia japo kiasi kidogo tuu?
 
Wanangu mnaojisikia kunywa pombe, kunyweni. Pombe inasaidia kupunguza mawazo.
Mi nnachojua pombe imekatazwa kwa wafalme

"wala msiwape pombe wafalme wakanywa wakasahau majukumu yao, bali wapeni pombe masikini wanywe wasahau shida zao, wapeni pombe walio na uchungu moyoni"

Kwa pamoja tuseme Amen
 
Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.

Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.

Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo ninapenda kuwekeza nguvu kukumbusha kuwa Pombe inaathiri sana AFYA, mahusiano na maisha kwa ujumla.

Tafakari chukua hatua!!!!!!
#partmalila #saikolojia
Nimeandika comment tangu then nimefuta.

Kama ilivyoandikwa kunywa kwa kiasi. Pombe ina faida na hasara. .... Ingawabkwa wengi hasara ni nyingi kuliko faida....
 
Back
Top Bottom