Jihadhari na hiki kituo cha mafuta cha Victoria

Ukishaona mtu anajiongelesha kimagharibi elewa ashatindikiwa. Waulize wenzio humu jf walioonana na Nyadikwa watakusimulia na siku hiyohiyo utashika adabu. Fake ID zinawadanganya sana
 
Ukishaona mtu anajiongelesha kimagharibi elewa ashatindikiwa. Waulize wenzio humu jf walioonana na Nyadikwa watakusimulia na siku hiyohiyo utashika adabu. Fake ID zinawadanganya sana
Mkuu you are not only a Poor learner, a stupid one too!
 
hapana mtoa mada 100% una makosa wewe unajua kusoma na pia unalijua gari lako linatumia mafuta gani unapofika kituo cha mafuta kwanza unasoma pump ni diesel au petrol ndio unapark sehemu wewe unajua gari yako inatumia mafuta yapi
 
Kama sio ORYX hayo makosa ni ya kawaida mno. Kuna mwana aliwekewa kwenye Vogue kerosene kwenye sheli ya mhindi flan simtaji jiran na Kamata. Mzee Sheli ni ORYX tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…